and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Sawa sawaSio wananchi sema chawa wake au kundi lake
Hao sio wananchi, hao ni CHAWA. Wananchi wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguziWananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Huyu Mollel ni mla rushwa haswa anafanya drama kuwapa pombe watu watengeneze maigizoWananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Maneno hayo si mageni nchi hiiWananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Siasa Siha.Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Dr, huwezi kushinda tena safari hii! Kumbuka tu yule Mheshimiwa aliyekununua kipindi kile kutoka Chadema, hayupo tena! Na wenye chama chao kwa sasa hawakutaki.Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Ye mwenyewe sura ya pombeHuyu Mollel ni mla rushwa haswa anafanya drama kuwapa pombe watu watengeneze maigizo
VICHWA vya wananchi wake vitakuwa kama vya Mbunge wao!!Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Kina Kileo walisema haya wakiwa wamelewa mbege iliyolala aka ngeraili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi