Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Mpaka bangi anavutaYe mwenyewe sura ya pombe
Mpaka bangi anavutaYe mwenyewe sura ya pombe
Kwa namna anavyojitolea, anavyokubalika na kuchapa kazi za wananchi wa Jimbo la siha kwa bidii,Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Anajitolea wakati analipwa mshahara? Kujitolea manake nini kwako wewe? Utasema SSH naye anajitolea kama raisi wa nchi?Kwa namna anavyojitolea, anavyokubalika na kuchapa kazi za wananchi wa Jimbo la siha kwa bidii,
Ni wazi huyo muungwana atarejeshwa mjengoni kupitia uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025.
well done Dr Godwin Mollel💪👊
Hiv huwaga kuna chawa hadi wa mbuge?Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
Huyu ni chawa mpuuzi sana na ana PhD ya uchawa! Shenzi type!Anajitolea wakati analipwa mshahara? Kujitolea manake nini kwako wewe? Utasema SSH naye anajitolea kama raisi wa nchi?
UCHAWA KAZI SANA
Asante Sana StudioDr Shika Mitano tena