Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Polisi wametoa ripoti kuwa Hamza hakuwa mmiliki wa mgodi, lakini wananchi wanaomjua huko Chunya mkoani Mbeya, wanasema alikuwa ni mmiliki wa mgodi na alitoa ajira kwa baadhi ya watu katika mgodi huo.
Hii ripoti ya Polisi dhidi ya Hamza haina credibility yoyote, kwa sababu haiwezekani chombo chenye ugomvi na mtu eti kiwe ndo chenye kuchunguza ugomvi huo, lazima kitajipendelea tu.
Video ya wananchi wanavyomzungumzia Hamza hii hapa chini: