Wananchi wanaomjua Hamza wanasema alikuwa mtu mzuri, mwana CCM kindakindaki na Mmiliki wa mgodi

Wananchi wanaomjua Hamza wanasema alikuwa mtu mzuri, mwana CCM kindakindaki na Mmiliki wa mgodi

😁😁😁
AEyXWF.jpg
 
Mwenyekiti anatuhumiwa!!...Huyu Hamza tayari vyombo vya ulinzi vimetoa taarifa ni Gaidi!!.. Lakini alikua anafadhiri chama flani cha siasa!!... Usijifanye huna akili Kwa ujinga huu!!..
uko verified halafu hata akili hutumii.

taarifa inasema hamza alikuwa mwenye viashiria vya ugaidi,unaelewa nini ktk hii kauli??

au mwenyekiti nayeye amefariki???
 
Magaidi siku zote huwa yanaonyesha roho ya huruma mbele za watu
 
Tukubali kuwa, nchi yetu imekwisha, inaendeshwa na wahuni wahuni hivi, malaya malaya hivi; kweli tunakoelekea hatukujui. Nyeupe inakuwa nyeusi na nyeusi inasemwa ndiyo nyeupe. Hakuna ethics kabisa juu hadi chini. Angalia huyu mwanakijiji anavyoongea ukweli lakini huko serikalini uozo, na uongo ni chakula yao.

Kwa nini? Ati ccm itawale. Nani ataamini kuwa mbowe amesweka ndani kwa ugaidi? Kama iq yako ipo chini ya iq ya kuku basi utaamini; 2+2 = 4

Mwisho wa tanzania huo.

Cyo kwamba nchi imeisha ila kuna stage saiz tupo kua kila jambo tunaingiza siasa , Yule Hamza n katoa roho za watu tna ambao wanategemewa kwa Taifa na familia zao lkn cha ajab watu wanakuj kuleta mamb ya UCCM cjui hatuwez fika jambo km hilo n kukemea na pili tunapata wap nguvu za kupinga report ya Polisi ikiwa mpingaj haujafany uchunguz . Ama kwel kwa dunia ya sa hv kuongea na kusema ukweli havisaidii chochote[emoji2291]
 
Uchunguz wako wa kupata hizo taarifa umefanyia wapi?
Maswali mengine bana.We huoni hio ni makala watu wanahojiwa tena mbele ya kamera?Huoni kabisa kwamba hakuna mchujo wala uchakachuzi.Huoni walioandaa hii ripoti hawana maslahi yoyte na hamza wala jeshi la polisi?Huoni?Kama huoni umechagua kutokuona.Ila usiulize utafiti umefanyiwa wapi.Kuna siku utatamani ukweli ila hutauona
 
Polisi wametoa ripoti kuwa Hamza hakuwa mmiliki wa mgodi, lakini wananchi wanaomjua huko Chunya mkoani Mbeya, wanasema alikuwa ni mmiliki wa mgodi na alitoa ajira kwa baadhi ya watu katika mgodi huo.

Hii ripoti ya Polisi dhidi ya Hamza haina credibility yoyote, kwa sababu haiwezekani chombo chenye ugomvi na mtu eti kiwe ndo chenye kuchunguza ugomvi huo, lazima kitajipendelea tu.

Video ya wananchi wanavyomzungumzia Hamza hii hapa chini:

View attachment 1921691
Kwani ukiwa mmiliki wa migodi huwezi kuwa gaidi?

Lini uliwahi ona magaidi au wafashili wa ugaidi wanaishi vibaya au kusemwa vibaya na wanajamii?

Haya ehee wewe unataka usemaje sasa kwamba alichofanya sio ugaidi au?
 
Wanaomtetea muuaji Hamza, Wamesikia yaliotokea leo huko New Zealand??? Mjamaa kajidai kuchoma watu visu kwa shopping mall. Polisi hawakumkawiza na hawakua na muda wa ETI tumkamate tukamhoji.. wamempeleka kuzimu fasta.
 
Back
Top Bottom