Wananchi wanaomjua Hamza wanasema alikuwa mtu mzuri, mwana CCM kindakindaki na Mmiliki wa mgodi

Mwenyekiti anatuhumiwa!!...Huyu Hamza tayari vyombo vya ulinzi vimetoa taarifa ni Gaidi!!.. Lakini alikua anafadhiri chama flani cha siasa!!... Usijifanye huna akili Kwa ujinga huu!!..
uko verified halafu hata akili hutumii.

taarifa inasema hamza alikuwa mwenye viashiria vya ugaidi,unaelewa nini ktk hii kauli??

au mwenyekiti nayeye amefariki???
 
Magaidi siku zote huwa yanaonyesha roho ya huruma mbele za watu
 

Cyo kwamba nchi imeisha ila kuna stage saiz tupo kua kila jambo tunaingiza siasa , Yule Hamza n katoa roho za watu tna ambao wanategemewa kwa Taifa na familia zao lkn cha ajab watu wanakuj kuleta mamb ya UCCM cjui hatuwez fika jambo km hilo n kukemea na pili tunapata wap nguvu za kupinga report ya Polisi ikiwa mpingaj haujafany uchunguz . Ama kwel kwa dunia ya sa hv kuongea na kusema ukweli havisaidii chochote[emoji2291]
 
Uchunguz wako wa kupata hizo taarifa umefanyia wapi?
Maswali mengine bana.We huoni hio ni makala watu wanahojiwa tena mbele ya kamera?Huoni kabisa kwamba hakuna mchujo wala uchakachuzi.Huoni walioandaa hii ripoti hawana maslahi yoyte na hamza wala jeshi la polisi?Huoni?Kama huoni umechagua kutokuona.Ila usiulize utafiti umefanyiwa wapi.Kuna siku utatamani ukweli ila hutauona
 
Kwani ukiwa mmiliki wa migodi huwezi kuwa gaidi?

Lini uliwahi ona magaidi au wafashili wa ugaidi wanaishi vibaya au kusemwa vibaya na wanajamii?

Haya ehee wewe unataka usemaje sasa kwamba alichofanya sio ugaidi au?
 
Wanaomtetea muuaji Hamza, Wamesikia yaliotokea leo huko New Zealand??? Mjamaa kajidai kuchoma watu visu kwa shopping mall. Polisi hawakumkawiza na hawakua na muda wa ETI tumkamate tukamhoji.. wamempeleka kuzimu fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…