Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa:

IMG_20220409_164601_301.jpg

Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani?

Hekima ipi mpewe na nani nyie?

Au ndiyo la kuvunda?
 
Kulazimisha wananchi waikatae katiba kisa unawajengea Zahanati kwa kodi zao🐒🐒🐒
 
Leo utapokea buku 10. Maana ule uzi wa kwanza buku 5 na huu wa sasa hivi 5 = jumla 10. Pambana mkuu ili angalau leo familia ile kuku badala ya kula dagaa kila siku. Siku hizi uanaharakati unalipa sana, ndo maana siajabu kumkuta chawa mmoja ana IDs zaidi ya tano. Endeleeni kupambania matumbo yenu huku wenye akili tukiendelea kuzichora fikra zenu.

images (68).jpeg
 
View attachment 2181780

Buku 5 ndizo mnazolipwa nyie? Kwa comment uchwara nazo mnalipwa mia ngapi ngapi?

Yasemekana mstari wa mbele katika dera ulijipatia dera jingine jipya kabisa!
 
Walio tayari waendeleze mapambano, hao wengine watajiunga mbele ya safari kama wakiona kuna umuhimu wa kufanya hivyo, ila wayakumbuke hayo maneno ya Warioba.
 
Walio tayari waendeleze mapambano, hao wengine watajiunga mbele ya safari kama wakiona kuna umuhimu wa kufanya hivyo, ila wayakumbuke hayo maneno ya Warioba.

Haipo shaka wananchi walio wengi wanataka katiba mpya.
 
Kuna vijana wa uvccm na wapo wale hoyahoya wanaolipwa. Hao ndio tatizo kubwa sana kuliko hata viongozi wenyewe
 
Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa:

View attachment 2181747

Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani?

View attachment 2181751

Hekima ipi mpewe na nani nyie?

Au ndiyo la kuvunda?
Kuna waoga flan wako ccm ndiyo ambao hawataki katiba mpya. Na ukiwauliza kwann hawataki hawana sababu. Aliyendika katiba iliyopo Mh. Msekwa anasema tunahitaji katiba mpya lakini hawa wapambe wa Lumumba ndiyo wanajifanya hawataki katiba mpya
 
Ukweki ni kwamba wananchi tunataka katiba mpya, sema vyama vya siasa vinatuvuruga, kuna katiba ambazo wao wanazitaka.
 
Kingunge (rip) aliyeandika katiba ya 1977 na kina Msekwa aliyasema haya:

IMG_20220409_181834_514.jpg

Katiba Mpya ni sasa.
 
Ukweki ni kwamba wananchi tunataka katiba mpya, sema vyama vya siasa vinatuvuruga, kuna katiba ambazo wao wanazitaka.

Inafahamika CCM wanataka katiba ya 1977 idumu milele. Kwani wengine wanataka ipi mkuu?
 
katiba mpya lazima iwe na kipengere cha kumshaki raisi na uwezo wa bunge wa kupiga kura ys isiyo na imani na waziri mkuu au raisi. sasa huyu warioba hajui hilo? kwa nini jambo zuri kama hilo alilikwepa na kusisitiza wananchi wanataka serikali ya tanganyika na serikali tatu?

kumbuka 81% ya watanzania ni darasa la saba hivyo kusaka maoni kwao ya katiba ni sawa na kumpatia refa ukocha wa taifa star. mwanasheria mmoja tuu anathamani ya kuunda katiba kuliko maoni ya wananchi milion hamsini wasio na elimu ya secondari. hivyo lazima tuwe makini sana . Ben Gurion na washing ton waliunda katiba nzuri za mataifa yao bila michakato wala kusaka maoni ya wananchi' waliwatumia wanasheria , viongozi wa dini na wakufunzi wa vyuo vikuu tuu.
 
Back
Top Bottom