- Thread starter
- #21
katiba mpya lazima iwe na kipengere cha kumshaki raisi na uwezo wa bunge wa kupiga kura ys isiyo na imani na waziri mkuu au raisi. sasa huyu warioba hajui hilo? kwa nini jambo zuri kama hilo alilikwepa na kusisitiza wananchi wanataka serikali ya tanganyika na serikali tatu?
kumbuka 81% ya watanzania ni darasa la saba hivyo kusaka maoni kwao ya katiba ni sawa na kumpatia refa ukocha wa taifa star. mwanasheria mmoja tuu anathamani ya kuunda katiba kuliko maoni ya wananchi milion hamsini wasio na elimu ya secondari. hivyo lazima tuwe makini sana . Ben Gurion na washing ton waliunda katiba nzuri za mataifa yao bila michakato wala kusaka maoni ya wananchi' waliwatumia wanasheria , viongozi wa dini na wakufunzi wa vyuo vikuu tuu.
Uhuru wa mihimili ni muhimu sana.
Pakistan Waziri mkuu kuona kura ya kukosa imani yaja, kakimbilia kulivunja bunge.
Mahakama imekomaa, mchezo hauendi hivyo.
Hakuna almighty au mwenye kujichimbia zaidi. Nchi ni mali za wananchi.