Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?


Uhuru wa mihimili ni muhimu sana.

Pakistan Waziri mkuu kuona kura ya kukosa imani yaja, kakimbilia kulivunja bunge.

Mahakama imekomaa, mchezo hauendi hivyo.

Hakuna almighty au mwenye kujichimbia zaidi. Nchi ni mali za wananchi.
 
Uhuru wa mihimili ni muhimu sana.

Pakistan Waziri mkuu kuona kura ya kukosa imani yaja, kakimbilia kulivunja bunge.

Mahakama imekomaa, mchezo hauendi hivyo.

Hakuna almighty au mwenye kujichimbia zaidi. Nchi ni mali za wananchi.
Katiba Mpya itamoa uhuru hata Rais.
 
Ukweki ni kwamba wananchi tunataka katiba mpya, sema vyama vya siasa vinatuvuruga, kuna katiba ambazo wao wanazitaka.
Chadema wameshaweka wazi wanahitaji katiba ya wananchi chini ya Warioba.

Hao wengine wanataka ipi?
 
WanaSiasa wa chama tawala hawaitaki...
 
Inafahamika CCM wanataka katiba ya 1977 idumu milele. Kwani wengine wanataka ipi mkuu?
Nadhani unafahamu kulikua na mchakato wa katiba ya Warioba, kama ukifanikiwa kujua kwa nini haukutufikia wananchi tupige kura, unaweza kujua hao wengine na wanachokitaka. Inshort,kila chama kinataka katiba itakayokua rafiki kwake na sio rafiki kwa watanzania.
 
Inafahamika CCM wanataka katiba ya 1977 idumu milele. Kwani wengine wanataka ipi mkuu?
Nadhani unafahamu kulikua na mchakato wa katiba ya Warioba. Kama ukifanikiwa kujua kwa nini haukutufikia wananchi tupige kura, unaweza kujua hao wengine na wanachokitaka. Inshort,kila chama kinataka katiba itakayokua rafiki kwake na sio rafiki kwa watanzania.
 

Utakuwa unachanganya madawa mkuu. Wananchi tunataka katiba ya Warioba.

Mzozo uliotokea baina ya ukawa na CCM ni kuwa kama ilivyo kwa wananchi, ukawa walisimama na katiba ya Warioba.

Kipi zaidi ya maneno ya mzee Warioba:



 
Kwanza mkuu huu ni mtazamo wangu sio lazima ukubaliane nao. Ninavyofahamu katiba ilitakiwa ije, tuelimishwe na kisha tuipigie kura ya kukubali au kukataa. Ila hao uliowataja wakaamua kugombana na mwisho kuuzika ule mchakato. Inawezekana rasimu haikuweka utaratibu mzuri wakuipitisha ndio maana kulitokea kutoaminiana kwa hao wahusika.
 
Chadema wameshaweka wazi wanahitaji katiba ya wananchi chini ya Warioba.

Hao wengine wanataka ipi?
Huo uchama ndio uliopelekea mchakato kugota. Unaweza kuniambia kwanini waligoma!?
 

Kugombana ni choice ya maneno kuelezea kilichotokea. Ila kilichotokea ni kuwa CCM walitaka kulazimisha matakwa yao kama yalivyoorodheshwa hapa chini ambayo ukawa hawakukubaliana:



Haya yalikuwa ya msingi na ukawa kuyaridhia kwa kulazimishwa kienyeji tu haikuwa sahihi.
 
Wazanzibari wanataka sovereignty. Hizo serikali 3 mnazotaka kaziundeni na Burundi.
 
Wee ndiye unayemlipa Mzee Waryoba buku 5?
 
Sawa. Unadhani wananchi tungeelekezwa tukaikataa isingekua message tosha kwa wanaochomekea vitu vyao!? Hivi unadhani hao CCM wangeamua jambo lao kwa wakati huo wangeshindwa!? Kumbuka wao ndio waliokua katika dola na wakaruhusu huo mchakato uanze. Kama yalikua maigizo, basi katiba mpya haikujipambanua vizuri namna itakavyopitishwa ndio maana kukatokea kutoaminiana.
 

Ninaamini unajua walioyaona mapungufu yaliyokuwa yakiingizwa siyo wajinga.

Ninadhani pia UKAWA kwa kuraise objections zao na CCM akakomaa si kuwa ndiyo ilikuwa basi.

Ninadhani unajua aliyesimamisha mchakato huu si ukawa bali CCM.

Ninadhani utakuwa unajua kwanini CCM waligwaya kuendelea mbele na kuamua kama vipi mchakato ufe.
 
Sawa, ni mtazamo wako siwezi kupinga. Kwangu wote wanashida maana kila mmoja anavutia kamba, amini hata hiyo katiba tungeweza pata bomu la hatari.
 
Sawa, ni mtazamo wako siwezi kupinga. Kwangu wote wanashida maana kila mmoja anavutia kamba, amini hata hiyo katiba tungeweza pata bomu la hatari.

Mmoja anavutia kwa maoni ya wananchi kama yalivyo kwenye rasimu ya Warioba. Huyu havutii kwake, anavutia kwetu ndiyo maana kura ya maoni hailetwi, maana itakuwa sisi dhidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…