Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia.

Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya makazi hawauafiki.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kuna kabila lilikuwa linaishi kimara, kama ndio hilo hilo linaishi huko wazo karibu na kiwanda basi wajiandae kisaikolojia.
 
Washauri waende mahakamani hili sio suala la no 1,watanzania tuwa ajabu mno kabla ya kupigania taasisi huru na independent sisi bado tunamkuza no 1 why? Nani katuvuruga kiasi hiki yaani kila kitu ni ikulu ndio iamue? Hii in issue ya kisheria sio kisiasa.
CCM ndiyo imesababisha huu ujinga na inaupenda Sana kwani UJINGA ndiyo mtaji wake.Huyo wanayemlilia hajulukani alipo na haijulikani ni mzima ama la.Yeye Ni Kama Been Sanaane na Azory Gwanda halafu wanataka awasaidie.Ccm ni mashetani.
 
Waliopinga ni Chatembo na Chasimba tu,

Chachui wao wameridhika na maamuzi hayo....!

Yaani Chasimba, Chatembo, Chachui wote wameungana kupambana na Chatwiga (mzungu) lakini walio asisi majina haya nashauri watafutwe, ndo waliotutengenezea huu mgogoro.
Haya majina yanafanana na cement zinazozalishwa happy kiwandani lakini hii chachui mhhh! Sijawahi kuisikia.
 
Huu mgogoro umetengenezwa kama kule Ndachi Dodoma wafaidika na wauzaji wa maeneo wapo wazi wanalindwa
 
Huu mgogoro umetengenezwa kama kule Ndachi Dodoma wafaidika na wauzaji wa maeneo wapo wazi wanalindwa
Ni lini tunapewa hivi viwanja ambavyo tuliambiwa na tuliona vimeshapimwa muda tuu kule Ndachi Dodoma??
 
Back
Top Bottom