Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Kwanini serikali imekataa kuwataja hadharani wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja?
Watajwe kama yeye alivyowataja aliowatuhumu kutumia madawa ya kulevya mnamficha wa nini huyu hayawani?
 
Demu mjanja mno, na watu wameingia na wataingia mkenge kama kwa kina Joshua, Lusekelo n.k. Akili ni mali sana Duniani, demu analialia huku kuhusu kodi, mali zenyewe za urithi, hata kulipa kodi wanashindwa huku wakiishi Marekani kweli?! Ubabaishaji na utapeli wa hali ya juu, kelele nyingi kumbe shida asimpe ya Kaisari, tumestuka..
 
Mange is the best anachoboa tu ni kutukana tukana ovyo akijirekebisha hilo namuona mtu mmoja Mkubwa sana kwa siku zijazo . awe na adabu tu
 
Wananchi?? Wako wangapi?? Nenda kwenye page ya Samatta au Diamond uone wanavyokubalika.
 
Nyie mchangieni tu mikimaliza tunahack account tunajenga daraja jangwani kuchangia juhudi za serikali ni jambo la kizalendo sana
 
Figisu tu tunaojua tunajua kodi sio hoja, ukishakua mwiba lazma utawala watafute namna ya kukumaliza.
 
Na ukitaka kufanikiwa zaidi jiite wa miujiza maana wapo baadhi ya Wtz hawapendi kufikiria wanapenda miujiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…