Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Kwanini serikali imekataa kuwataja hadharani wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja?
Watajwe kama yeye alivyowataja aliowatuhumu kutumia madawa ya kulevya mnamficha wa nini huyu hayawani?
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo Mfano walio control mind za watu wakatajirika
1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...
Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Demu mjanja mno, na watu wameingia na wataingia mkenge kama kwa kina Joshua, Lusekelo n.k. Akili ni mali sana Duniani, demu analialia huku kuhusu kodi, mali zenyewe za urithi, hata kulipa kodi wanashindwa huku wakiishi Marekani kweli?! Ubabaishaji na utapeli wa hali ya juu, kelele nyingi kumbe shida asimpe ya Kaisari, tumestuka..
 
Mange is the best anachoboa tu ni kutukana tukana ovyo akijirekebisha hilo namuona mtu mmoja Mkubwa sana kwa siku zijazo . awe na adabu tu
 
Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.View attachment 484634
Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa. View attachment 484635View attachment 484636
Je, hii inaonyesha ishara gan. Ni kwamba Mange anakubalika sana au?
Wananchi?? Wako wangapi?? Nenda kwenye page ya Samatta au Diamond uone wanavyokubalika.
 
Nyie mchangieni tu mikimaliza tunahack account tunajenga daraja jangwani kuchangia juhudi za serikali ni jambo la kizalendo sana
 
HIVI NI KWELI KODI YA ARDHI FAMILIA YA MANGE WAMESHINDWA KULIPA? KWANI KODI YA MWAKA YA ARDHI NI TSH NGAPI? KODI YA ARDHI NAYOJUA MIMI KWELI KWA COMMERCIAL PLOT INAZIDI LAKI 5 KWA MWAKA? LET ASSUME HAWAJALIPA TANGU MZEE AFARIKI,JE NDIO WASHINDWE KULIPA HIYO ,LAKI 3 X15 AMBAYO NI 4.5MILIONS?
Figisu tu tunaojua tunajua kodi sio hoja, ukishakua mwiba lazma utawala watafute namna ya kukumaliza.
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Na ukitaka kufanikiwa zaidi jiite wa miujiza maana wapo baadhi ya Wtz hawapendi kufikiria wanapenda miujiza tu
 
Back
Top Bottom