Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Mnashindwa kuwachangia Yatima na wazee wanaihitaji misaada mnahangaika na huyu fala
 
Nme kustah kwa sabab ya isidingo tuu
ila huna akili
 
Kiswahili ulibashite nini!!!! 😀😀😀 kupigwa mnada wa hotel ya familia YAO.... ni urithi ambapo waliamua kurithi kwa mtindo wa hisa yeye anamiliki 25%... Na wanafamilia wengine wana asilimia zao....
Rudia kusoma, angalia jibu sio unakurupuka tu, maneno uandike wewe, ujibiwe wewe ushindwe kuelewa ziro wanazo wengi kang'ang'aniwa makonda, kiswahili kigumu hata aliyepata sifuri kajitahidi
 
Hahaaa huwa mnanichekesha mnaposingizia isidingo.

Genious usilazimishe kila mtu awe na mawazo kama yako never ever. Kila mtu na ubongo wake.
Nme kustah kwa sabab ya isidingo tuu
ila huna akili
 
Kina Bashite ni wengi sana... Ni wapi nimesema ya Mange!!!! Kama unaongelea billicanas sawa jengo la national housing..... Ujue kuuliza maswali specifically nani.... Sio kwani ilikuwa yake!!!! Yake nani wakati nimeongelea watu wawili Mange na Kamanda wa anga....
 

Ni kweli
 
Kama ni kumchangia na me ntamchangia coz ni shujaa na jasiri sana
 
Kushikiwa akili na mtu ni kufilisika kimawazo/mtizamo, wacha wajanja waendelee kuzipiga hela kupitia kwa wasiojitambua. Mkuu na ww tafuta style ya kuwashika upige hela maana watz wengi wanafuata mkumbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…