LUPONDE YETY
Member
- Oct 21, 2016
- 93
- 47
Mnashindwa kuwachangia Yatima na wazee wanaihitaji misaada mnahangaika na huyu fala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
changia ww hao yatima na wazee c upo kwan nani kakulazimisha kuchangia mkuuMnashindwa kuwachangia Yatima na wazee wanaihitaji misaada mnahangaika na huyu fala
Unaripoti kutoka majengo bar...mange tutamkamata muda si mrefu ataozea magereza
Uspende kumlinganisha kila MTU na familia yenu ayo maneno kamwambie mzazi wako !!Hizo tarakimu unazckia tu hata mavi yakunya huna
Unafkir ni mama ako Huyu?Yakununulia always unayo au unatumia matambara
Nme kustah kwa sabab ya isidingo tuuAisee akili za baadhi ya watanzania bana hizi DECI wanazitengenezaga wenyewe,yakiwashinda wanaanza ilalamikia serikali kwa madhara waliyoyasababisha wenyewe.
Kama kweli mna nia ya dhati hizo hela mpeni lissu akijenge chama cha wanasheria vizuri kiwe kisu kikali na kuokoa wengi waliobambikiziwa kesi magerezani.
Rudia kusoma, angalia jibu sio unakurupuka tu, maneno uandike wewe, ujibiwe wewe ushindwe kuelewa ziro wanazo wengi kang'ang'aniwa makonda, kiswahili kigumu hata aliyepata sifuri kajitahidiKiswahili ulibashite nini!!!! 😀😀😀 kupigwa mnada wa hotel ya familia YAO.... ni urithi ambapo waliamua kurithi kwa mtindo wa hisa yeye anamiliki 25%... Na wanafamilia wengine wana asilimia zao....
wewe umechangia yatima? tumia kauli nzuri matusi si jambo la busara,kumwita mwanadamu mwenzio fala ni ukosefu wa hekima.Mnashindwa kuwachangia Yatima na wazee wanaihitaji misaada mnahangaika na huyu fala
Nme kustah kwa sabab ya isidingo tuu
ila huna akili
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh
Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo
Mfano walio control mind za watu wakatajirika
1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...
Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Huyu demu mange kimambi ndio Mtoto Wa Mzee kimambi nimjuwae?
Kushikiwa akili na mtu ni kufilisika kimawazo/mtizamo, wacha wajanja waendelee kuzipiga hela kupitia kwa wasiojitambua. Mkuu na ww tafuta style ya kuwashika upige hela maana watz wengi wanafuata mkumbo tuHuyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh
Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo
Mfano walio control mind za watu wakatajirika
1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...
Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Ameshaanza kuogopa hatima yake kaanza kuohopa kuhusu watoto wake a.k.a kafumeOk ninakubaliana na wewe kabisa. ILA kwa Mange hii ni zaidi ya kujitoa muhanga.