Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

Mangekimambi kama angelikuwa ni mwanaume basi ningesema.. Ana pumbu size ya sayari ya Jupiter.. Kudaadeki [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Matajiri wote duniani wanakontroo akili za watu ndo maana wanakuwa matajiri zaidi .

We hujui
 
Rent has gone up from Tsh200 ($0.15) per
acre to Tsh1,000 ($0.62) for rural land and
Tsh5,000 ($3.1) to Tsh10,000 ($6.3) for urban
land. Acre moja mjini unalipia maximum ya Tsh 10000. Hizi zitawashinda familia kulipa hadi hoteli kupigwa mnada?
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Ni kazi ngumu mkuu na wakati mwingine ni hatari lakini usije ukadhani ni rahisi kiasi hicho.
 
Inategemea ni eneo gani, kodi ya ardhi hakuna flat rate, kila eneo lina kodi yake.
Ni kweli lakini tambua kodi ya mwaka kwa ardhi ni ndogo sana,Kuna mtu nimemuuliza eneo lake analipia Tsh 16,000/= kwa mwaka limepimwa kama Residential ni sqm 1600 lipo Kijichi....Sasa Kwa hapo africana hata kama ni commercial plot nina uhakika kodi haizidi laki 3 kwa mwaka.
 
Rent has gone up from Tsh200 ($0.15) per
acre to Tsh1,000 ($0.62) for rural land and
Tsh5,000 ($3.1) to Tsh10,000 ($6.3) for urban
land. Acre moja mjini unalipia maximum ya Tsh 10000. Hizi zitawashinda familia kulipa hadi hoteli kupigwa mnada?
Kodi ya Ardhi ni Ndogo Sana,Kuna mchezo mchafu tu hapa ila hawawezi kuuza ni muhimu familia ya mange waweke injuction.
 
Huyu demu ame-control mind za watu wengi kumbe hivyo doh

Ndio maana gwajima amekuwa tajiri wa kutupwa sababu hiyo

Mfano walio control mind za watu wakatajirika

1.mzee wa loliondo
2.Manyau nyau
3.Gwajima
Na saizi Mange loading...

Subiri na mimi nianzishe jambo la kucontrol mind za watu nianze kupiga pesa
Kapige ramli hewa
 
Ni kweli lakini tambua kodi ya mwaka kwa ardhi ni ndogo sana,Kuna mtu nimemuuliza eneo lake analipia Tsh 16,000/= kwa mwaka limepimwa kama Residential ni sqm 1600 lipo Kijichi....Sasa Kwa hapo africana hata kama ni commercial plot nina uhakika kodi haizidi laki 3 kwa mwaka.
Kuna ile hela ya ku renew mkataba wa ardhi labda baada ya kila 16 yrs au 32yrs au 64. Ile jombaa ni ndefu, kwa Dar sehemu kamaAfrican si chini ya 10m kwa kiwanja tu cha labda 800m2
 
Kumbuka ni Kodi ya Ardhi na sio hiyo ya ku-renew hati,Hati ina miaka 33,66 na 99 na kama mda wa hati kuisha basi wasingepiga mnada serikali ingeichukua na kufanya matumizi mengine maana hati ikiisha ukiomba ku-renew serikali inaweza isikupe,Kitendo cha mnada maana yake ni Kodi ya Ardhi kwa Mwaka ambayo ni ndogo sana.
 
Update:
Kina Mange wamefanikiwa kulipa fedha nusu na nyingine waliahidi kulipa kabla ya mnada kwahiyo haitauzwa kwa mujibu wa ofisa wa ardhi alizungumza jana kupitia TV.
 
Huyo mange uko ulaya anafanya kazi gani mpaka ashindwe kulipa deni? Au ndo kashalipiwa na hao wanaomtuma aichafue serikali? Mmmh kazi anayo, si afanye kazi tu jamani, si ana elimu ile, nimeona juzi alikua na stress sana
 
Nimeshangaa kwanini kina Mange walikuwa hawajalipa kodi ya ardhi.
 
Matambara. Alafu for your information mataambara ndo mazuri kuliko hizo always. Kwanza sizitaki. Hata mamaako alitumiaga matambara kwanini nisitumie mieee, tisa kumi, hata kwakujiuuza ntajiuza kusudi nimchangie my sweet Mange acee
Kama unajiuza njoo kwangu mimi nikuhonge tu,huyo kahaba wenu mange mchanhieni tu ila jua atazeekea huko na hawezi kuja huku milele mchangie tu ila haisaidii lolote mbwa nyie
 
Ngoja wazee waione hiyo account kama atakuta hata mia
 
Aisee akili za baadhi ya watanzania bana hizi DECI wanazitengenezaga wenyewe,yakiwashinda wanaanza ilalamikia serikali kwa madhara waliyoyasababisha wenyewe.

Kama kweli mna nia ya dhati hizo hela mpeni lissu akijenge chama cha wanasheria vizuri kiwe kisu kikali na kuokoa wengi waliobambikiziwa kesi magerezani.
Hela zao uwapangie wewe matumizi???!!!
 
Back
Top Bottom