MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
hakikaNinapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima.
Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio ilikuwa option ya mwisho kwenye maisha yao.
Kuanzia sasa utangazwe utaratibu wa kuto kumkopesha, kuto nunua bidhaa/huduma wala kushirikiana nao kijamii na Askari polisi na familia zao kwa ujumla
Ndio wakitengwa wataanzisha mgomoPolisi wanatumika tu na watawala
Hata wao ukianzisha ubaguzi nao hawatashirikiana na wewe ukivamiwa na majambazi na panya road, kila mmoja afanye yake uone kifuatacho mburula mkubwa we!Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima.
Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio ilikuwa option ya mwisho kwenye maisha yao.
Kuanzia sasa utangazwe utaratibu wa kuto kumkopesha, kuto nunua bidhaa/huduma wala kushirikiana nao kijamii na Askari polisi na familia zao kwa ujumla
Ni kuwaonea tu wanatumika bila utashi wao, na kulinda ajira zao hawana namnaNdio wakitengwa wataanzisha mgomo
Wao watapoteza kuliko raia wakawaidaHata wao ukianzisha ubaguzi nao hawatashirikiana na wewe ukivamiwa na majambazi na panya road, kila mmoja afanye yake uone kifuatacho mburula mkubwa we!
Anza leo sasa uone.Wao watapoteza kuliko raia wakawaida
.