Wananchi watakiwa kuoga kwa Dakika 2 tu na Kutoflash Vyoo kila wakati ili kutunza Maji Afrika Kusini

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1695022837384.png

Ni tahadhari ilitolewa na Mamlaka ya Huduma za Maji ya Jiji la Johannesburg Nchini Afrika Kusini ikiwataka Wananchi kutumia Maji kidogo vinginevyo watasababisha Mfumo wa Usambazaji Kuishiwa Maji kabisa.

Wananchi wametakiwa kumwaga Maji kwenye Vyoo baada ya kwenda haja kadhaa na sio kila wakati mtu anapokuwa ameingia kupata huduma huduma, pia, Watu waoshe Magari siku za mwisho wa Wiki tu tena kwa Ndoo moja ya Maji.

Aidha, Mamlaka imewataka Wakazi wa Jiji hilo kuacha kujaza Mabwawa ya Kuogelea hadi uhaba wa Maji uishe, Kuepuka kumwagilia Bustani na Nyasi kwa Maji safi. Uhaba wa Maji umeathiri maeneo mengine ikiwemo Taasisi muhimu zikiwemo Hospitali.

=============

Water suppliers in Johannesburg, South Africa, have asked residents of the city and its suburbs to use less water amid an intensifying water shortage that they warn could “result in the collapse of the system”.

Rand Water and Johannesburg Water on Sunday said that high water consumption by residents “is putting a strain on the system” and has resulted in significantly low water reservoir levels.

The companies have asked residents to save water by limiting their showers to two minutes, only flushing toilets after long calls and only washing cars on weekends using buckets.

The companies have also asked residents to stop filling swimming pools until water scarcity ends, avoid watering gardens and lawns with clean water and fix or report water leakages.

Johannesburg is currently under the yearly water restrictions, which often last during South Africa’s dry season between September and March.

In recent weeks, some of the city's residents and institutions such as hospitals have gone without water, causing public discontent.

BBC
 
Kwetu Tanzania pamoja na Uhaba wa Maji, hatujawahi kuwaambia Wananchi wetu waache kwenda maliwatoni mara kwa mara.

Kwa kauli hiyo ya Serikali inaonesha matumizi ya toilet paper yataongezeka miongoni mwa raia wa Afrika Kusini.

Wale Vijana wa hovyo wapenzi wa kutumia doggy style kwenye shughuli ya uzalishaji watoto, mmepigwa na kitu kizito.

Mkikaidi mjiandae kutumia air fresh huko vyumbani ili kupunguza air pollution 🏃🏃
 
View attachment 2753160

Hahaaa ,! Mtu mweusi ni ngedere kabisa .
Yaani Kabulu alikuwa sahihi sana ,ni vile tu kukaza mafuvu .
Angalia serikali ya majitu Meusi yalivyoharibu nchi ile
 
Kwamba Afrika kusini tunayoitazama kama rejea ya taifa lililopiga hatua kubwa za maendeleo ndio wamefikia hapa?
 
Afrika Kusini inakabiliwa na matatizo makubwa sana ya Kiuchumi na Huduma za jamii.Kuna mgao mkubwa sana wa Umeme Nchini humo na Sasa shida ya Ukosefu wa Maji umeanza.

Wauza maji Jijini Josberg Wamewataka Wananchi kuoga Kwa Dakika 2 tuu huku wakitakiwa kutotumia maji ku falsh vyoo baada ya haja ndogo,kutoosha magari nk.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1703776897560113583?t=o96Er0N3UnQpoIMS73F_wQ&s=19

Swali.
Kama Hawa Wana Katiba Mpya na Demokrasia ila Bado haijawasaidia kutatua shida zao Hadi wanawasakama Wahamiaji,hivi ni kweli Afrika inahitaji Demokrasia kutatua shida zake?
 
Kwetu Tanzania pamoja na Uhaba wa Maji, hatujawahi kuwaambia Wananchi wetu waache kwenda maliwatoni mara kwa mara.

Kwa kauli hiyo ya Serikali inaonesha matumizi ya toilet paper yataongezeka miongoni mwa raia wa Afrika Kusini.

Wale Vijana wa hovyo wapenzi wa kutumia doggy style kwenye shughuli ya uzalishaji watoto, mmepigwa na kitu kizito.

Mkikaidi mjiandae kutumia air fresh huko vyumbani ili kupunguza air pollution 🏃🏃
Katiba Mpya na Demokrasia Kwa nini havijawapelekea maji? 🤣🤣
 
Afrika Kusini inakabiliwa na matatizo makubwa sana ya Kiuchumi na Huduma za jamii.Kuna mgao mkubwa sana wa Umeme Nchini humo na Sasa shida ya Ukosefu wa Maji umeanza.

Wauza maji Jijini Josberg Wamewataka Wananchi kuoga Kwa Dakika 2 tuu huku wakitakiwa kutotumia maji ku falsh vyoo baada ya haja ndogo,kutoosha magari nk.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1703776897560113583?t=o96Er0N3UnQpoIMS73F_wQ&s=19

Swali.
Kama Hawa Wana Katiba Mpya na Demokrasia ila Bado haijawasaidia kutatua shida zao Hadi wanawasakama Wahamiaji,hivi ni kweli Afrika inahitaji Demokrasia kutatua shida zake?

Maadam ANC ndio wamevuruga nchi faida ya katiba mpya ni kwamba mwakani ANC itaondolewa au kufanya coalition Ili kije chama kingine kinachoweza leta mabadiliko. Ila bila katiba mpya Ina maana ANC angeendelea kuvuruga nchi milele maana hakuna namna angeondolewa kwenye halmashauri zao au serikali kuu.
 
Jidanganye
 
View attachment 2753160
Ni tahadhari ilitolewa na Mamlaka ya Huduma za Maji ya Jiji la Johannesburg Nchini Afrika Kusini ikiwataka Wananchi kutumia Maji kidogo vinginevyo watasababisha Mfumo wa Usambazaji Kuishiwa Maji kabisa.

Wananchi wametakiwa kumwaga Maji kwenye Vyoo baada ya kwenda haja kadhaa na sio kila wakati mtu anapokuwa ameingia kupata huduma huduma, pia, Watu waoshe Magari siku za mwisho wa Wiki tu tena kwa Ndoo moja ya Maji.

Aidha, Mamlaka imewataka Wakazi wa Jiji hilo kuacha kujaza Mabwawa ya Kuogelea hadi uhaba wa Maji uishe, Kuepuka kumwagilia Bustani na Nyasi kwa Maji safi. Uhaba wa Maji umeathiri maeneo mengine ikiwemo Taasisi muhimu zikiwemo Hospitali.

=============

Water suppliers in Johannesburg, South Africa, have asked residents of the city and its suburbs to use less water amid an intensifying water shortage that they warn could “result in the collapse of the system”.

Rand Water and Johannesburg Water on Sunday said that high water consumption by residents “is putting a strain on the system” and has resulted in significantly low water reservoir levels.

The companies have asked residents to save water by limiting their showers to two minutes, only flushing toilets after long calls and only washing cars on weekends using buckets.

The companies have also asked residents to stop filling swimming pools until water scarcity ends, avoid watering gardens and lawns with clean water and fix or report water leakages.

Johannesburg is currently under the yearly water restrictions, which often last during South Africa’s dry season between September and March.

In recent weeks, some of the city's residents and institutions such as hospitals have gone without water, causing public discontent.

BBC
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo kuna kampuni ya maji kutokea uko South Africa ilikuja nchini kwetu ikaingia ubia na dawasa ili kuondoa shida ya maji nchini,Ama kama vipi waje nchini kwetu wajifunze kwa dawasa
 
Jidanganye
Walipata 50% uchaguzi uliopita, mwakani lazima tu waingie coalition na EFF au DA. Sasa hayo ndio mafanikio ya katiba mpya kwamba ukifeli kuleta Maji unaondolewa anakuja anayeweza naye akishindwa anatolewa. Kuliko nchi iwe failed state ilihali wananchi hawana uwezo wa kuamua nani wa kuwaongoza.
 
Back
Top Bottom