Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

Status
Not open for further replies.
sasa kwanini asiende kuwaomba hao chadema wanaomtuma aropoke ropoke anamuomba nani sasa ? siasa siyo kazi mbowe mwenzie anakula kilaini kwa kulamba asali yeye analamba vumbi
 
Kanuni ni ile ile usimpige mbwa aliekuja kwenye harusi au sherehe maana wote mmekwenda kula
 
Aliokuwa anawatumikia si wamchangie maana Kila mtu atakuwa alikopeleka mboga
 
Tuonyeshe aliposema amefilisika.

Hiyo ni fundraising alisuggest Roma jana kupitia account yake ya X na wala sio Nay maana katika TL ya Nay kuna post za release ya wimbo.

Usifikiri wote humu tunatokea Kolomije .
 
Kama siasa na kazi havichangamani mbona wasanii machawa Wa CCM hawajafilisika au ukiwa chawa Wa ccm hiyo inakuwa siyo siasa? Bongo zenye kinyesi km hizi ni shida sana kwa maendeleo ya jamiii
 
Acha uongo .

Iko hivi baada ya Ney kutoa Ngoma hii mpya mwanamuziki Roma mkatoliki aliwaambia jamii ya twitter kwa kua Ney anajitoa sana kwa watu kwanini tusimchangie ndipo wazo hilo lilikubaliwa na kila mtu. Na si kama usemavyo ,kuna mambo mpaka una shangaa ninyi machawa mnafikiria kwa kutumia ubungo au mavi🚮.
 
Attachments

  • Screenshot_20240925-145433.png
    Screenshot_20240925-145433.png
    249.5 KB · Views: 2
Acha uongo .

Iko hivi baada ya Ney kutoa Ngoma hii mpya mwanamuziki Roma mkatoliki aliwaambia jamii ya twitter kwa kua Ney anajitoa sana kwa watu kwanini tusimchangie ndipo wazo hilo lilikubaliwa na kila mtu. Na si kama usemavyo ,kuna mambo mpaka una shangaa ninyi machawa mnafikiria kwa kutumia ubungo au mavi🚮.
Mwamba...mwambie,maana bichwa lake linawaza teuzi tuu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom