Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Makala anafanya kazi gani inayompa kipato duniani?Siasa sio kazi
Nchimbi je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makala anafanya kazi gani inayompa kipato duniani?Siasa sio kazi
Huu ndiyo ukweli. Machawa wanataka kumchafua huyu mpambanaji Ney.Ney hajaomba ila Roma ndio alietoa wazo maana wasanii karibia wote wanaonekana ni machawa hio wamefanya kama kumpa moyo.
Unavyoshupaza shingo amekuomba kibaba cha unga au bado ni zilezile tabia zako kama taulo ya "oftenly"?Ameomba, maisha yamempiga, juzi nilipita karibu na nyumba yake, usiku ni giza totoro, hana hata LUKU
Jitahidi unapoandika mada ufikiri mara mbili si kukurupukaJitahidi uongeze uwezo wa kufikiri
Tuma hela acha maneno 🤪🤪Msanii ambaye ameamua kutolamba masaburi ya wanaccm lazima afilisike, he's so bold kusimama upande wa wananchi, sio rahisi hata kidogo kwake.
Hivi nani atanunua muziki wa Ney uliojaa mitusi kedekede!! Acha asugue lami, na bado.Hiyo umeitengeneza mwenyewe, tunawajua nyie vibaka wa uvccm kwa kugushi.
Sawa kabisa.Ney hajaomba ila Roma ndio alietoa wazo maana wasanii karibia wote wanaonekana ni machawa hio wamefanya kama kumpa moyo.
Mbona wewe huwa unaimba nyimbo za kichawi unapooga mtoni na hakuna mwenye habari na wewe?Acha uchimvi!Hivi nani atanunua muziki wa Ney uliojaa mitusi kedekede!! Acha asugue lami, na bado.
Kweli si hasa. Tafsiri yake ni sio yenyewe,uwongo unao fanana na ukweli.Siasa sio kazi
Mwamba...mwambie,maana bichwa lake linawaza teuzi tuu...Acha uongo .
Iko hivi baada ya Ney kutoa Ngoma hii mpya mwanamuziki Roma mkatoliki aliwaambia jamii ya twitter kwa kua Ney anajitoa sana kwa watu kwanini tusimchangie ndipo wazo hilo lilikubaliwa na kila mtu. Na si kama usemavyo ,kuna mambo mpaka una shangaa ninyi machawa mnafikiria kwa kutumia ubungo au mavi🚮.