CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Chama chakavu hao kulishana sumu tu na kumalizana.CDM wanajuana kwenye shida na raha tofauti na chama chakavu.
Wanapakwa mafuta na kumiminiwa kiwatilifu cha kibaiolojia wakiaminishwa kuwa kina upako wa kuwafanya wawe matajiri wakubwa duniani.Wasanii wao si ndy hao wanaopakwa vilainishi 😄
Ova