Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

Status
Not open for further replies.
Sasa kama wananchi au Msanii kama huyu (anfanya kazi ) na bado hajafikia kiwango cha kujitosheleza unadhani ni kosa la nani kama sio watunga sera na serikali iliyopo madarakani kushindwa kutumia nguvu kazi... Na kama huyu yupo hivyo je kitaa watu wapoje ?

Ni pale ambapo panzi mnahangaika kushikana mashati wakati Kunguru anawamaliza polepole (unless na wewe ni Kunguru) sioni kuna faida gani ya kumdhihaki mtu anayetumia kipaji chake na kuwasilisha hisia zake...
 
It is better to keep your mouth shut and let people suspect you are a moron than open it and remove any doubt.
Kuna watu wangapi wamefilisiwa na CCM kwa kunyang'abywa malii zao? Hundreds of thousands. Kuna watu wangapi maisga yao yameharinlbika kwa sababu ya corruption ndani ya CCM? Millions!
Lakini naona napoteza muda wangu kukuambia yote haya kwa sababu inaonyesha wewe ni mbumbumbu. Ungekuwa na hata chembe ya akili usingeandika upuuzi kama huu!!
 
Anastahili kuchangiwa maana sanaa yake ya muziki ni manufaa kwa Watanzania wote. Yeye haimbi vyama bali maslahi ya Watanzania wote.
 
Tutawachangia sana wakijitokeza wengi kama Nay. Tena ngoja niongeze kabisa...
 
Wapambanaji kama kina Ney ni wa kuwapa Support maana GAVO hawawapi madeal kabisa ya pesa.
 
Asante kwa taarifa mkuu kufilisika sio dhambi japo hii idea ilifanywa na Roma wala ney hajaomba. ila ngoja na mimi nimchangie hapa kumtia moyo asante sana kwa kuleta Tangazo hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom