rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
ulijuaje kama hakuthibitisha hizo tuhuma, ile taarifa imesomwa ya upande mmoja isitoshe majadiliano yalikuwa kwa siri kama wangetaka wangeyaweka waziKwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
Duuh, hata wewe umekuwa kinyume na maamuzi ya kipande cha serikali yenu - bunge...!!??Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.
Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.
Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.
Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.
Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.
Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.
VIDEO:
Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!
Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.
Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.
Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”
Muda ni mwalimu wa kweli!
Jitafakari kaka chanjo haijapingwa Tanzania zaidi ya nusu ya wamarekani hawajachanja. Wengi wao katika hao wanapinga chanjo. Hali kadhalika hata UK. Katika wanaopinga chanjo hiyo wapo wasomi tena bobezi katika taaluma ya tiba.Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
sorry lakin kama ameshindwa kudhibitisha hoja zake kwa kuleta evidence? unailaum kamati?
Hii nchi ina vijana wa hovyo hovyo sanaWewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
Kwani matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 hayakuthibitisha hilo?Kwa hiyo unakubali kwamba mwendazake alikuwa na wafuasi wengi sana?
Ili lipo wazi swala la chanjo limemuweka kinalani
askofu
Ni afadhali hoja ambazo hazijathibitishwa kuliko chanjo ambayo haijathibitishwa piaKwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
Shutuma gani kashindwa kuzithibitisha wacha kudanganjika wao ndiyo walishindwa kumjibu maswali ndiyo maana uliwaona bungeni wanafoka kana kwamba bado hawajakutana na gwajima kwanini wasifokeane kwenye kikao wangoje bungeni wakati ngwajima hayupoKwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
lakin hoja lazima zidhibitishwe na concrete evidence. kama hazina vidhibitisho ninsawa na siasa tu
Kwahiyo mmekubari kuwa legacy ya jiwe imekubalika hadi na wanachama wa vyama vya upinzani maana chanjo milioni moja zimeshindwa kumalizika hadi sasa wakati wanachama wa chadema peke yao wangeweza kuzimaliza hata zingekuwa milioni 3 bado wa ccm mamilioni kama ni upumbavu basi chadema , ccm na upinzani wote ni wapumbavu piaSwala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Nikweli sisi tunasema kama chadema siyo wapumbavu mbona wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja wakati wana wanachama na wafuasi zaidi ya mamilioni ,maana sisi wapumbavu tumekataa kuchanja sasa wao wenye akili mbona wameshindwa kumaliza chanjo milioni 1 tu huu unaenda mwezi wa piliYaani legacy ya upumbavu halafu inaungwa mkono na wananchi wengi!
Una maana taifa lina wapumbavu wengi!
Kuita watu wengi ni wapumbavu ndio upumbavu wenyewe!
Hoja yako haina mantiki yoyote!
Wanaowashambulia wabunge badala ya kuwa convict wote wana tatizo na wanahitaji msaada haraka. Sioni tofauti kati ya potato na potatoes hapa. They are all guilty and rotten so to speakUkichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.
Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.
Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.
Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.
Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.
Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.
VIDEO:
Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!
Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.
Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.
Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”
Muda ni mwalimu wa kweli!
Wanachi kwa umoja wao wanaweza.....kinarani kwa ujinga yes. but on thing anatakiwa ajue serikal ikiamua kumtoa hapo alipo hakuna mwananchi mwenye uwezo wa kufanya lolote. watabaki mashabiki tu lakin hatoweza kufanya lolote
Unamaanisha jamaa kaandika m*vi?Wewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
Gwajima sauti ya mtanzania gani? Labda mtanzania mjinga mjinga! Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza? Gwajima ni mpiga dili tu! Samia ni number one
Ivi kumbe legacy za upumbavu ndio hukubalika na walio wengi eti!!?