PreGE2025 Wananchi wengi ukipiga nao stori wanasema CCM bila polisi hawawezi kushinda uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,212
Reaction score
4,676
Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM.

Wananchi wengi hawana imani kabisa na CCM.

CCM kushinda bila wizi wa kura na kutumia vyombo vya ulinzi na usalama ni vigumu mno kushinda uchaguzi mkuu. Hali hii inafanya CCM washindwe kukubali kufanya reforms za uchaguzi kabla ya uchaguzi ni wazi kwamba wanajua endapo wakifanya hivyo, ushindi kwao utakuwa ni mgumu munoo.

Ombi langu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tambueni vyama vya upinzani siyo adui wa maendeleo, vyama vya upinzani na venyewe vipewe uhuru wa kufanya siasa zao kwa wananchi msiwabuguzi sana.

Ikitokea chama cha upinzani kimeshinda uchaguzi mkuu, bado kinaweza kuendesha nchi huku mkisimamia majukumu yenu kama mnavyofanya CCM.

Msitake kufanya vyama vya upinzani kana kwamba ni makundi ya kigaidi, vipeni nafasi sawa .

Tanzania hakuna chama cha upinzani kinachoweza kupindua nchi, woga wenu CCM na vyombo vya ulinzi na usalama unatoka wapi?

Kwa hali tuliyopo kama uchaguzi ukiwa huru na haki, sioni kabisa CCM itashindaje uchaguzi mkuu.
 
Kitu ambacho kinanisikitisha sana vyombo vya ulinzi na usalama badala ya kufanya kazi na serikali wao wanakubali kutumiwa na CCM.
Ni kama kwenye Dictatorship zote lakini Nguvu ya Umma ni nguvu kubwa kila raia akikusanya sandarusi ya mawe watakimbia tu.
 
Mtoa mada kuna kitu hukijui au umekisahau!

Hivi vyama vyenyewe siyo vya upinzani kiuhalisia.

Ukitaka kuthibitisha hili angalia yanayoendelea Sasa hivi, na yaliyotokea nyuma yafananayo na haya.

Halafu jiulize, aliyebariki uwepo wa vyama vingi ni nani?

Je, hao walioruhusu upinzani wapo tayari kushindwa na "vinyago" walivyovichonga wenyewe?

Mimi nina amini, upinzani wa kweli upo miongoni mwa baadhi ya wananchi.

Ila Watanzania wengi ni wajinga sana! Wao ni soka na stori zisizo na maana.
 
Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM.

Wananchi wengi hawana imani kabisa na CCM.

CCM kushinda bila wizi wa kura na kutumia vyombo vya ulinzi na usalama ni vigumu mno kushinda uchaguzi mkuu. Hali hii inafanya CCM washindwe kukubali kufanya reforms za uchaguzi kabla ya uchaguzi ni wazi kwamba wanajua endapo wakifanya hivyo, ushindi kwao utakuwa ni mgumu munoo.

Ombi langu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tambueni vyama vya upinzani siyo adui wa maendeleo, vyama vya upinzani na venyewe vipewe uhuru wa kufanya siasa zao kwa wananchi msiwabuguzi sana.

Ikitokea chama cha upinzani kimeshinda uchaguzi mkuu, bado kinaweza kuendesha nchi huku mkisimamia majukumu yenu kama mnavyofanya CCM.

Msitake kufanya vyama vya upinzani kana kwamba ni makundi ya kigaidi, vipeni nafasi sawa .

Tanzania hakuna chama cha upinzani kinachoweza kupindua nchi, woga wenu CCM na vyombo vya ulinzi na usalama unatoka wapi?

Kwa hali tuliyopo kama uchaguzi ukiwa huru na haki, sioni kabisa CCM itashindaje uchaguzi mkuu.
The obvious!
 
Movement ya chadema chini ya Lisuu unaamini ni ya upinzani wa kweli au siyo?
 
Kwa hali hii, lazima wakatae reforms kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Attachments

  • 20250407_143714.jpg
    20250407_143714.jpg
    88.5 KB · Views: 30
Police CCM wanaamini kula Yao ipo mikononi mwa CCM hvyo hawana budi kukupiganiaa chamaa Chao ety ....
 
Movement ya chadema chini ya Lisuu unaamini ni ya upinzani wa kweli au siyo?

Hapo kuna mchanganyiko. Ila Lissu anaonekana yupo real, but anazungukwa na mapandikizi Kila kona.

Ili kutoboa, anahitaji nguvu ya wananchi ama za wale jamaa wa mabaka.
 
Jamba jamba iliyoko huko Lumumba sio ndogo watu wameongeza dozi za vidonge vya BP na ndio Jemadari Lissu kapita Nyasa na sasa Kusini imagine akiingia kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini.😁
Shikamoo Lissu 🫡
 
Hapo kuna mchanganyiko. Ila Lissu anaonekana yupo real, but anazungukwa na mapandikizi Kila kona.

Ili kutoboa, anahitaji nguvu ya wananchi ama za wale jamaa wa mabaka.
Tatizo ni hata hao bakabaka wako inflated na CCM kwa sasa.
 
Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM.

Wananchi wengi hawana imani kabisa na CCM.

CCM kushinda bila wizi wa kura na kutumia vyombo vya ulinzi na usalama ni vigumu mno kushinda uchaguzi mkuu. Hali hii inafanya CCM washindwe kukubali kufanya reforms za uchaguzi kabla ya uchaguzi ni wazi kwamba wanajua endapo wakifanya hivyo, ushindi kwao utakuwa ni mgumu munoo.

Ombi langu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tambueni vyama vya upinzani siyo adui wa maendeleo, vyama vya upinzani na venyewe vipewe uhuru wa kufanya siasa zao kwa wananchi msiwabuguzi sana.

Ikitokea chama cha upinzani kimeshinda uchaguzi mkuu, bado kinaweza kuendesha nchi huku mkisimamia majukumu yenu kama mnavyofanya CCM.

Msitake kufanya vyama vya upinzani kana kwamba ni makundi ya kigaidi, vipeni nafasi sawa .

Tanzania hakuna chama cha upinzani kinachoweza kupindua nchi, woga wenu CCM na vyombo vya ulinzi na usalama unatoka wapi?

Kwa hali tuliyopo kama uchaguzi ukiwa huru na haki, sioni kabisa CCM itashindaje uchaguzi mkuu.
Mmmh!! mbona kama unaongopa
 
Sura na muonekano wa nyumbu huwa vinatambulika tu, unajua huyu nyumbu. Sasa watanzania ni wakarimu sana, hawapendi kumdhalilisha mtu......ukifika nyumbu wanajua unapenda majibu gani, wanakupatia majibu Yako Ili ukimbilie Huku kuanzisha thread. Ukiwa ccm hivyo hivyo.

Hitimisho, ni vigumu kujua lililo moyoni.........tulia Hadi oktoba 25 nyumbu.
 
Hata Rais wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa chama tawala, alishawahi kuwaonya wenzake kipindi hicho, kwenye moja ya vikao vya chama.
 
Sura na muonekano wa nyumbu huwa vinatambulika tu, unajua huyu nyumbu. Sasa watanzania ni wakarimu sana, hawapendi kumdhalilisha mtu......ukifika nyumbu wanajua unapenda majibu gani, wanakupatia majibu Yako Ili ukimbilie Huku kuanzisha thread. Ukiwa ccm hivyo hivyo.

Hitimisho, ni vigumu kujua lililo moyoni.........tulia Hadi oktoba 25 nyumbu.
Una matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom