JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo
1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue
2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi unaenda kuwa mchepuko wa mwanaume ambae ana mke na watoto na wakati huo nae ana wanawake wengi nje
3.Mwanaume umemwacha mwanamke baada ya kumfumania unaenda kuoa mwanamke alieachika baada ya kufumaniwa na mume wake
4.Mwanamke anaachana na mwanaume kisa hatoi huduma stahiki za familia anapewa laki 4 kesi inaenda mwanaume anaambiwa anatakiwa kiserikali kutoa matumizi ya mtoto elf 75 na kwa kua wapo 2 ni Tsh 150000 nje ya ada matumizi mengine mama ndio atachangia kwani wote ni mtoto wao
5.Mwanaume unasema sitaki kuoa mwanamke mwenye mtoto unaenda kuoa mwanamke samaki na fundi gerej ameshashusha engine mara nyingi kila siku kumsumbua Mwampos anataka keki na mafuta huna engine umeshaharibu toka shulen,vyuoni,halaf unataka kupakata mtoi daah
N.B Nawahakikishieni mtafika jehanam mkiwa mmechoka moto unawasubiri ni swala la muda tu