Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

nimepewa sharti hapa, eti naolewa lakini sitaki tuachane, please promise me. Kama kawaida nasubiri tu kaolewe week ijayo, wakishafunga ndoa tu nakapiga chini ila kwasasa nakapa moyo tuko pamoja maana kachizi haka nikikaambia ukiolewa tunaachan hii ndoa next week hakuna tena.

Usihofu wewe unaeoa next week, mkifunga ndoa mimi nakuachia, naheshimu ndoa. Ila umepata mke, she is beutifully and intelligent but she likes wahuni and somebody very strong and chakalamu like me. Najua katakusumbua sana hizi week baada ya ndoa nikikapiga chini maana katakosa raha na papuchi unaweza usipewe, kuwa mvumilivu and stay strong i will help to resolve.
Any living human is behaviorally unpredictable creature (dynamism) and it only depends on several environment, so be careful.
 
  • "Ndoa na iheshimiwe na watu wote".
  • Ndoa isiyo mpango wa Mungu na wazazi lazima iwe kizungumkuti.
  • Zamani wazee walitafiki na kuwaelekeza vijana sehenu za kuoa, kwa sasa vijana wanajiamulia tu kwa hisia zao.
  • Pia wazazi walichangia kudhibiti mienendo na mihemko ya vijana kabla ya kuleta madhara kwenye Ndoa.
  • Maswaibu ya ukubwani wanayopitia waliolelewa na wazazi waliotengana ni makubwa, na hakuna anayewaonea huruma.
Wanawake wa siku hizi wana uwezo wa kuwa na kila kitu kama mwanaume na wanaume bado wana akili ya kujiona wako juu, mkishaanza kushindana hakuna ndoa tena
 
Wanawake wa siku hizi wana uwezo wa kuwa na kila kitu kama mwanaume na wanaume bado wana akili ya kujiona wako juu, mkishaanza kushindana hakuna ndoa tena
Siku hizi? Mbona ata kabla ya kristu yalikuwa haya.... tofauti ni ushindani ndo umekuja kivuruga form.
 
ila kwa kizazi iki ndoa hakuna kabisa, juzi jamaa kaagwa kwa penzi zito na ex wake, ex wake kapata bwana anaenda kufunga nae ndoa kesho alaf jamaa kapewa penz leo. [emoji42] Mungu tusaidie.

mim pia ex wangu aneolewa lakin kila wakati ananiforce nikamchakate ati ameyamiss mapigo yangu, na ndoa yake ina mwaka mmoja tu.

rafiki yangu wa tatu ndio mkatili kinoma, anasex na ex wake aliyepo kwenye ndoa ya miaka mi3 na dem anamimba ya miez 8 lakin anampeleka gheto anampelekea moto kama hana mimba vile, dah
Duh...uyo rafiki yako wazimu. Hapo ubabe umezidi mkuu.
 
Maisha kweli hayana adabu Ila tuzikaribishe shida Tu Kwa kuowana na kuachana
 
nimepewa sharti hapa, eti naolewa lakini sitaki tuachane, please promise me. Kama kawaida nasubiri tu kaolewe week ijayo, wakishafunga ndoa tu nakapiga chini ila kwasasa nakapa moyo tuko pamoja maana kachizi haka nikikaambia ukiolewa tunaachan hii ndoa next week hakuna tena.

Usihofu wewe unaeoa next week, mkifunga ndoa mimi nakuachia, naheshimu ndoa. Ila umepata mke, she is beutifully and intelligent but she likes wahuni and somebody very strong and chakalamu like me. Najua katakusumbua sana hizi week baada ya ndoa nikikapiga chini maana katakosa raha na papuchi unaweza usipewe, kuwa mvumilivu and stay strong i will help to resolve.
Beautiful withno brain. Mtu unaolewa soon halafu unaliwa na mtu mwingine. Huyo msichana ni kilaza tu hana u inteligency wowote. Anayeenda kuoa ana hasara
 
Binafsi yangu suala la kuoa halina kipaumbele kabisa, licha ya kwamba familia imekua iki ni pressure nioe ila nimebaki na msimamo wangu kwamba kwa sasa hilo kwangu sio kipaumbele, nashukuru nina mtoto tayari, ila nikiangalia misuko suko ya kaka zangu/ dada zangu / marafiki zangu na ndoa zao wengi wanatamani wasingeoa/wasingeolewa, siko tayari kuingia kwenye mtego huo kwa sasa.
NB: Nikiwa na shida na Utelezi naweza kupata muda wowote.
Ndoa ni zaidi ya utelezi ndugu
 
Beautiful withno brain. Mtu unaolewa soon halafu unaliwa na mtu mwingine. Huyo msichana ni kilaza tu hana u inteligency wowote. Anayeenda kuoa ana hasara

tukisimamia maandiko, msichana yeyote anayeolewa akiwa hana bikra kwa maana ya bikra imetoka kwa kugongwa au amegawa papuchi kabla ya ndoa HUYO NI KILAZA HANA AKILI.

Mwanaume yeyote anayeoa akiwa tayari ameshakula papuchi kadhaa kifupi naye sio bikra naye HANA AKILI.

Akili tunazoziongelea ni za duniani za mipango na utafutaji ugali, akili za shule na kazini nk.

Kwa muktadha wa vitabu vitakatifu - KILA ADHINIYE (KUFANYA MAPENZI BILA NDOA) HANA AKILI.
 
Maandiko yapo tu na ni wachache sana wayafuata. Lakini ni upumbavu zaidi umepata mchumba halafu unataka kuolewa huku unaendelea na x wako
 
Back
Top Bottom