Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jehanam iko hapa hapa duniani.Huoi lakini unashukuru Mungu unamtoto, na ukitaka utelezi muda wowote unaupata..Aisee dunia hii!, Tumuogope Muumba jamani, jehannam is real.
Mwanamke mvumilivu karne hii atoke wapi?Ndoa siyo kwa kila mtu, ni kwa wanaume wenye akili na wanawake wavumilivu tu.
Aarg daah Kila nikikutana na hii miguu nasahau nilichokuwa nataka kukomentiAsante kwa kutufokea mkuu
Ila kuna point kazaa hapo nimezielewa
Du ni noma... sasa sisi tunaotaka kuoa mnatukata maini kabisaila kwa kizazi iki ndoa hakuna kabisa, juzi jamaa kaagwa kwa penzi zito na ex wake, ex wake kapata bwana anaenda kufunga nae ndoa kesho alaf jamaa kapewa penz leo. [emoji42] Mungu tusaidie.
mim pia ex wangu aneolewa lakin kila wakati ananiforce nikamchakate ati ameyamiss mapigo yangu, na ndoa yake ina mwaka mmoja tu.
rafiki yangu wa tatu ndio mkatili kinoma, anasex na ex wake aliyepo kwenye ndoa ya miaka mi3 na dem anamimba ya miez 8 lakin anampeleka gheto anampelekea moto kama hana mimba vile, dah
Wewe ni mmoja wa wanawake walio pevuka kiakili.Ndoa siyo kwa kila mtu, ni kwa wanaume wenye akili na wanawake wavumilivu tu.
Ndoa siyo kwa kila mtu, ni kwa wanaume wenye akili na wanawake wavumilivu tu.
Miaka ishafika mingapi?Binafsi yangu suala la kuoa halina kipaumbele kabisa, licha ya kwamba familia imekua iki ni pressure nioe ila nimebaki na msimamo wangu kwamba kwa sasa hilo kwangu sio kipaumbele, nashukuru nina mtoto tayari, ila nikiangalia misuko suko ya kaka zangu/ dada zangu / marafiki zangu na ndoa zao wengi wanatamani wasingeoa/wasingeolewa, siko tayari kuingia kwenye mtego huo kwa sasa.
NB: Nikiwa na shida na Utelezi naweza kupata muda wowote.
30 mkuuMiaka ishafika mingapi?
This is not bad, bado una miaka 3 mpaka 4 ya kuzuga zuga30 mkuu
Actually nimejipa miaka 7This is not bad, bado una miaka 3 mpaka 4 ya kuzuga zuga
Maamuzi mazuri.. mke wa mtu sumu!nimepewa sharti hapa, eti naolewa lakini sitaki tuachane, please promise me. Kama kawaida nasubiri tu kaolewe week ijayo, wakishafunga ndoa tu nakapiga chini ila kwasasa nakapa moyo tuko pamoja maana kachizi haka nikikaambia ukiolewa tunaachan hii ndoa next week hakuna tena.
Usihofu wewe unaeoa next week, mkifunga ndoa mimi nakuachia, naheshimu ndoa. Ila umepata mke, she is beutifully and intelligent but she likes wahuni and somebody very strong and chakalamu like me. Najua katakusumbua sana hizi week baada ya ndoa nikikapiga chini maana katakosa raha na papuchi unaweza usipewe, kuwa mvumilivu and stay strong i will help to resolve.
Wanawake wavumilivu hapa Tanzania tumebaki sita tuMwanamke mvumilivu karne hii atoke wapi?