M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
kwa sasa huu unatakiwa kuwa ni msimamo wa wanaume wote wenye akiliBinafsi yangu suala la kuoa halina kipaumbele kabisa, licha ya kwamba familia imekua iki ni pressure nioe ila nimebaki na msimamo wangu kwamba kwa sasa hilo kwangu sio kipaumbele, nashukuru nina mtoto tayari, ila nikiangalia misuko suko ya kaka zangu/ dada zangu / marafiki zangu na ndoa zao wengi wanatamani wasingeoa/wasingeolewa, siko tayari kuingia kwenye mtego huo kwa sasa.
NB: Nikiwa na shida na Utelezi naweza kupata muda wowote.