Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

  • "Ndoa na iheshimiwe na watu wote".
  • Ndoa isiyo mpango wa Mungu na wazazi lazima iwe kizungumkuti.
  • Zamani wazee walitafiki na kuwaelekeza vijana sehenu za kuoa, kwa sasa vijana wanajiamulia tu kwa hisia zao.
  • Pia wazazi walichangia kudhibiti mienendo na mihemko ya vijana kabla ya kuleta madhara kwenye Ndoa.
  • Maswaibu ya ukubwani wanayopitia waliolelewa na wazazi waliotengana ni makubwa, na hakuna anayewaonea huruma.
 
Du ni noma... sasa sisi tunaotaka kuoa mnatukata maini kabisa
 
Miaka ishafika mingapi?
 
nimepewa sharti hapa, eti naolewa lakini sitaki tuachane, please promise me. Kama kawaida nasubiri tu kaolewe week ijayo, wakishafunga ndoa tu nakapiga chini ila kwasasa nakapa moyo tuko pamoja maana kachizi haka nikikaambia ukiolewa tunaachan hii ndoa next week hakuna tena.

Usihofu wewe unaeoa next week, mkifunga ndoa mimi nakuachia, naheshimu ndoa. Ila umepata mke, she is beutifully and intelligent but she likes wahuni and somebody very strong and chakalamu like me. Najua katakusumbua sana hizi week baada ya ndoa nikikapiga chini maana katakosa raha na papuchi unaweza usipewe, kuwa mvumilivu and stay strong i will help to resolve.
 
Maamuzi mazuri.. mke wa mtu sumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…