Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

kwa sasa huu unatakiwa kuwa ni msimamo wa wanaume wote wenye akili
 
Adam na hawa walivyokula tu TUNDA wakafukuzwa bustanini,,,,kula TUNDA bila ruhusa ndo msingi wa mambo yote hayo,,,,mwanaume kama umeingia kwenye ndoa sio bikra vilevile mwanamke kama umeingia kwenye ndoa kama sio bikra, tegemea kuchapiwa/kuibiwa sana,,,,,kama ww sio bikra achana na ndoa tafta muhini mwenzako mwendeleze zambi!!!!
Ndoa ni agano takatifušŸ¤
 

Hapa umenena mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…