Wanandoa wengi hawapendani


Duh kwahiyo Mme wake afe !!!
 
Nawaonaga my parents wakichuniana home yani kabisaa u can see how much they miss each other,likitokea jambo dogo tu basi kila mtu yuko busy ili mradi tu aongee na mwenzie na unakuta kesho yake wanakaa wote wanaongea weee...ndoa aint easy but worth it
 
Hii 100% kweli, kwafamilia zengine. Nilishuhudia kisa kimoja mjini Nairobi mama mmoja aliwalipa majambazi kumuua mumewe kusudi aridhi Nyumba na hele wanazo miliki yeye na mumewe. Bahati mbaya au nzuri jambazi kamwambia mwanamme.
 
Watu wana generalize mambo
mwingine kaoa/olewa na kwekwerekwe anadhani kila mtu ni hivo
hiyo tunaiita hast generalization ni moja ya changamoto zinazomkumba mtu katika kufikiria kwa makini na ufanya uamuzi/critical thinking na hili ndo tatizo kubwa sana la kwenye mahusiano mengi mtu experience yake mbaya ya mahusiano anataka aiconvert kwa jinsia ya pili kwamba wote wapo ihivyo
 
i just have belief kwamba ndoa yangu itakuwa ya furaha ki-mahusiano labda huzuni ziletwe na vitu vingine ukishaanza kuwa na negative belief juu ya mahusiano ya ndoa ama nje yakle very posible huwezi kuwa na happy ending
 

mama nomaa sana! ha! ha
 

Wewe umejuaje?
umeoa?kama umeoa
kwa sababu wewe na mkeo mnaishi hivyo ndo unafikiri wanandoa wote wanaishi hivyo?
watu tuna enjoy ndoa leo mwaka wa 15...
Jipange tena
 
Wewe umejuaje?
umeoa?kama umeoa
kwa sababu wewe na mkeo mnaishi hivyo ndo unafikiri wanandoa wote wanaishi hivyo?
watu tuna enjoy ndoa leo mwaka wa 15...
Jipange tena

nitolee upuuzi wako hapa soma mada uilewe nimesema baadhi ya ndoa mbona unakuwa mpuuzi kiasi hiki mpaka unashindwa kusoma post na kuielewa? wewe na mpuuzi mmoja anaitwa tedo hamjui nini maana ya jukwaa piteni mbali na post zangu sijawalazimisha kuchangia
 
Umefanya uchunguzi kwa ndoa ngapi?

Tupe takwimu tafadhali tukubaliane na wewe.
 

Haina uhakika. Toa data za utafiti wako.
 
hatupo kwenye thesis hapa sihitaji ukubaliane nami acha upuuzi, hii ni thread ukiona haikufai ipotezee hapa sio shuleni wala ngo kuulizaoa utafiti

Sasa mbona umeulizwa kistaarabu tu alafu unajibu kihuni na matusi juu??? Maswali kama hayo usipoulizwa hapa unadhani kuna mtu atakuuliza vijiweni???

Basi ngoja nikuache,naona lengo lako ilikuwa kuanzisha tu thread.umefanikiwa
 
Wewe umejuaje?
umeoa?kama umeoa
kwa sababu wewe na mkeo mnaishi hivyo ndo unafikiri wanandoa wote wanaishi hivyo?
watu tuna enjoy ndoa leo mwaka wa 15...
Jipange tena

15 yrs of marriage aint serious dude, halafu wajiita boy? Hiyo yahitaji wanaume bhana. Hata the way unavyoandika waonyesha bado uko na u-boy flani hivi.
 
Sasa mbona umeulizwa kistaarabu tu alafu unajibu kihuni na matusi juu??? Maswali kama hayo usipoulizwa hapa unadhani kuna mtu atakuuliza vijiweni???

Basi ngoja nikuache,naona lengo lako ilikuwa kuanzisha tu thread.umefanikiwa
Kweli tumetoka mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…