Wanandoa wengi hawapendani

Dah...haya mambo ya "milele", "kifo kiwatenganishe", " kwa shida na raha" hayana maana.....bora kuwa na ndoa ya mkataba[emoji13] [emoji87]
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
Vipi na wewe upo kwenye hili kundi? Yaani unamuombea mkeo afe uoe dogodogo?
 
Kinachopungua kwenye ndoa nyingi ni ile kutamaniana kingono, lakini upendo wa kindugu huongezeka.
Mkishakaa mda mrefu mnakuwa kama ndugu. Lakini kwa vile mmezoeana sana basi ile kumtamani ku du nae inapungua sana ,, mnapiga game kwaajili ya kumwaga oil tu.
 
Inawezekana lakini sio kila ndoa,inahitaji utafiti wa kutosha.mi naona tinapendana mapungufu ni ya kibinadamu tu.
 
Duh ina maana huyo mama anakujali ww usidhurike kuliko mume wake??
Umeshindwa kung'amua body language ya mama kama anakutaka mbanjue amri ya 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…