Nayajua zaidi ya hayo kwakuwa tunaishi kwenye jamii ambayo tumepata nafasi ya kusuluhisha mahusiano ya wanandoa kila siku kuanzia ndani ya familia, viongozi wa mtaa, ustawi wa jamii mpaka mahakamani......Umeyajuaje hayo!? mawazo yako ndiyo unadhani yapo kwa wote itakua ww ulioa kwa tamaa ya mali au kuolewa kwa tamaa ya mali.
Hii sasa itakuwa ni cocktail ya makabila khaa!mmh mimi nimeongea kwa ujumla wake lakini mimi kabila langu ni mix grill ya mluya msandawe mmasai na mmanda
Mtu kupigiwa simu mara anaanguka na kufariki dunia haina uhusiano wo wote simu hiyo, bali kinachamuua ni kile alichoambiwa yaani taarifa aliyopata, kwa mfano taarifa ya msiba, mtu kutoroka na fedha nyingi siku ya marejesho benki, nyumba kuungua ilhali humu ndani kuna akiba yake yote tena au pesa aliyokopa benki na kuweka nyumba rehani bila mwenza wake wa ndo kufahamu. Nimekuwa nikisikia watu wakishauri kutopokea simu usiyoifahamu, lakini haina maana yoyote.Umenikumbusha juzi apa kuna mamake rafiki yangu ( tuko nae jirani) aliniita akaniambia kuna mama kapigiwa cm na no. Mpya inaishia na 94 apo apo akaanguka na kufa, so usipokee no usioijua.Akaniambia ameshawaambia ndugu zake wote.Kioja sasa nkamuuliza umeshamwambia baba( Mme wake) et uyo sina shida nae atajijua.
Mtu kabila hufuata kwa baba taja kabila moja ww ni kabila gani? Mtu mmoja unakuwaje mmanda mmasai!mmh mimi nimeongea kwa ujumla wake lakini mimi kabila langu ni mix grill ya mluya msandawe mmasai na mmanda
Hata baba yangu ni matokeo ya makabila mawili hivyo huwa tunataja yoteMtu kabila hufuata kwa baba taja kabila moja ww ni kabila gani? Mtu mmoja unakuwaje mmanda mmasai!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda sasa wa kununua miwani mpya..haiwezekani tokea 2014 unavaa hiyo tu!!Hata baba yangu ni matokeo ya makabila mawili hivyo huwa tunataja yote
Jr[emoji769]
Nairobiiiiiiiiiii?????????? Jamii forum banaWewe ni wa kabila gani?kuna makabila yanayothamini mali kuliko utu!
[emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji3]vyuma mzee baba... Pamoja na masharti ya mtaalamNi muda sasa wa kununua miwani mpya..haiwezekani tokea 2014 unavaa hiyo tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akusimamie..Kaka Mshana nakubaliana na thread yako. Mimi na Wife tuliishi miaka 13 tukabarikiwa kupata Mali. Navyokuambia tumetengana anataka Mali zote amiliki yeye. Patamu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajageneralize wakuu ,labda nyie hamjamuelewa...amesema ndoa nyng hazna furaha na sio ndoa zote hazna furaha.hiyo tunaiita hast generalization ni moja ya changamoto zinazomkumba mtu katika kufikiria kwa makini na ufanya uamuzi/critical thinking na hili ndo tatizo kubwa sana la kwenye mahusiano mengi mtu experience yake mbaya ya mahusiano anataka aiconvert kwa jinsia ya pili kwamba wote wapo ihivyo
Umakini ni jambo linalosumbua wengi ama kusoma na kuelewa kilichoandikwaHajageneralize wakuu ,labda nyie hamjamuelewa...amesema ndoa nyng hazna furaha na sio ndoa zote hazna furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app