Wanandoa wengi hawapendani

Wanandoa wengi hawapendani

Umeyajuaje hayo!? mawazo yako ndiyo unadhani yapo kwa wote itakua ww ulioa kwa tamaa ya mali au kuolewa kwa tamaa ya mali.
Nayajua zaidi ya hayo kwakuwa tunaishi kwenye jamii ambayo tumepata nafasi ya kusuluhisha mahusiano ya wanandoa kila siku kuanzia ndani ya familia, viongozi wa mtaa, ustawi wa jamii mpaka mahakamani......
Reasoning yako kwenye hili naona bado iko chini sana... Sikuandika kufurahisha genge.. Nimeandika uhalisia

Jr[emoji769]
 
Umenikumbusha juzi apa kuna mamake rafiki yangu ( tuko nae jirani) aliniita akaniambia kuna mama kapigiwa cm na no. Mpya inaishia na 94 apo apo akaanguka na kufa, so usipokee no usioijua.Akaniambia ameshawaambia ndugu zake wote.Kioja sasa nkamuuliza umeshamwambia baba( Mme wake) et uyo sina shida nae atajijua.
Mtu kupigiwa simu mara anaanguka na kufariki dunia haina uhusiano wo wote simu hiyo, bali kinachamuua ni kile alichoambiwa yaani taarifa aliyopata, kwa mfano taarifa ya msiba, mtu kutoroka na fedha nyingi siku ya marejesho benki, nyumba kuungua ilhali humu ndani kuna akiba yake yote tena au pesa aliyokopa benki na kuweka nyumba rehani bila mwenza wake wa ndo kufahamu. Nimekuwa nikisikia watu wakishauri kutopokea simu usiyoifahamu, lakini haina maana yoyote.
 
Kizazi cha digitali ndoa ni jambo jepesi sana. Kuna jamaa yangu kaoa jumapili, Alhamisi wameachana. Sijui kakutana na nini?

Yale ya kuoa kabla ya kula mzigo huenda yamemkuta.
 
hiyo tunaiita hast generalization ni moja ya changamoto zinazomkumba mtu katika kufikiria kwa makini na ufanya uamuzi/critical thinking na hili ndo tatizo kubwa sana la kwenye mahusiano mengi mtu experience yake mbaya ya mahusiano anataka aiconvert kwa jinsia ya pili kwamba wote wapo ihivyo
Hajageneralize wakuu ,labda nyie hamjamuelewa...amesema ndoa nyng hazna furaha na sio ndoa zote hazna furaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom