Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #101
Nayajua zaidi ya hayo kwakuwa tunaishi kwenye jamii ambayo tumepata nafasi ya kusuluhisha mahusiano ya wanandoa kila siku kuanzia ndani ya familia, viongozi wa mtaa, ustawi wa jamii mpaka mahakamani......Umeyajuaje hayo!? mawazo yako ndiyo unadhani yapo kwa wote itakua ww ulioa kwa tamaa ya mali au kuolewa kwa tamaa ya mali.
Reasoning yako kwenye hili naona bado iko chini sana... Sikuandika kufurahisha genge.. Nimeandika uhalisia
Jr[emoji769]