Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
πππππππHawakuwapenda?
Hivi kuna mwanadamu dunia hii anaamini eti kuna mwanadamu mshenzi na mwenye mapungufu yote kama yeye eti aje ampende yeye mpaka moyo wake uridhike?
Hana kazi za kufanya kama wewe?
Hii ni ndoto za alinacha ndugu
Nimefanya uchunguzi sio rasmi kwa wamama wawili watu wazima Waliodumu Kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 20 Mmoja akiwa na watoto na Mwingine akiwa na watoto na wajukuu Kabisa, Wote story zao zilifanana, ingawa ni watu tofauti hawajuani, utaskia mama anasema huyu mwanaume alienioa, wala alikua hayupo akilini mwangu, ila alinisumbua Kunitongoza kwa muda mrefu sana hadi nikamkubalia, Kwasababu mwanaume nliempenda alikua haeleweki .
Niliongea na mbaba mmoja ndugu yangu mtu mzima mwenye miaka 60+ Aliedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30+ alikiri mbele yangu Mm kijana wa miaka 20+ kuwa mke wake sio mzuri, Alisema mke wake ana sura mbaya (kiukweli Kabisa mkewe ana sura mbaya si uongo) Ila alimuoa kwasababu huyo mwanamke alimpenda, yani mwanamke alimpenda sana ndugu yangu ndo maana aliolewa.
Jamaa yangu mwingine alieoa na kadumu kwenye ndoa kwa miaka mingi kiasi, aliniambia ameoa huyo mwanamke kwasababu ndio aina ya mwanamke aliyeweza kumpata, hakuwa na option ingine.
Sasa mliooana hii hali mnadeal nayo vipi, maana kukaa kwenye ndoa na mtu usiempenda Wala kuwa na hisia nae daah ni kazi, Si mateso hayo
Umetokota mkuu,upendo kwanzaUpendo na hisia hua kuna kipindi vyote vinaisha kabisa, so to me hata kama ningepewa nafasi ya kumshauri mtu kuhusu suala la kuoa, nigemwambia upendo unatakiwa uwe kigezo cha mwisho kabisa katika list yake.
Utu, uvumilivu,usikivu, na maarifa ya kijamii kwangu ndo vigezo muhimu sana.
By the way, kurudi hapo juu, kwa ushahidi mdogo tu ndio maana watu ambao hawakuchagua upendo kama kigezo kikuu cha kuingia kwa ndoa wameishi katika taasisi hiyo kwa muda mrefu, na kinyume chake majibu pia unayo.
Kumuoa unaempenda kwa dhati utateseka sana maana anaweza fanya atakalo akijua kwake hupindui, kuishi na usiemtarajia inakuwa poa sana mana atakuheshimu na taratibu mtajikuta miaka inasonga tu wala hamzinguani ndani over!!!
Ukwel mtupu kabsa kuoa mwanamke unaempenda kwa dhati kabs no tatzo hapo bdae lazm uteseke
HhhhhhhhhAcha kufananisha tako la mwanamke na vitu vya kipumbavu Aidanna