Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Jikite kwenye hoja. Naona umenimiss.. vipi hali yako bado unapumua?Nimeona li like lako la kunicheka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hoja. Naona umenimiss.. vipi hali yako bado unapumua?Nimeona li like lako la kunicheka!
Napumua japo kwa hasira!Jikite kwenye hoja. Naona umenimiss.. vipi hali yako bado unapumua?
Pole.. umepona?Napumua japo kwa hasira!
Bado lakini naelekea..😑Pole.. umepona?
Nakuja nipe nafasi hiiHii ni kauli ya warembo wengi hapa mjini ...hivyo Basi wale wazee walio jibebea masingo maza wakae mkao wa kula.
Msiseme hamkuambiwa .
Kuomba unyumbaKufanya nn
Ukiwaambia hawaelewi ...wanazani kubeba madingle maza ni ufahari halafu badae wanakuja kulia lia humu.Kuna mzazi wenzangu(tulishaachana kitambo)anataka nimpe (mimba)mtoto mwingine wakati ana mtu wake anaishi naye..nmemwambia hapana aiseee.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
hawaeleweki, kama mbususu yani....Mtu kaamua kuzaa na mtu mmoja mnauliza msingi wake.. akizaa na wanaume tofauti mnawaita malaya. Binadamu hana jema.
aione GAZETI kwenye jaladaKuna mzazi wenzangu(tulishaachana kitambo)anataka nimpe (mimba)mtoto mwingine wakati ana mtu wake anaishi naye..nmemwambia hapana aiseee.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ukiinama ipo nyuma, ukisimama ipo katikati na ukichuchumaa ipo chini..hawaeleweki, kama mbususu yani....