Wanangu wote nitazaa na mwanaume mmoja

Wanangu wote nitazaa na mwanaume mmoja

Kuna mzazi wenzangu(tulishaachana kitambo)anataka nimpe (mimba)mtoto mwingine wakati ana mtu wake anaishi naye..nmemwambia hapana aiseee.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mzazi wenzangu(tulishaachana kitambo)anataka nimpe (mimba)mtoto mwingine wakati ana mtu wake anaishi naye..nmemwambia hapana aiseee.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ukiwaambia hawaelewi ...wanazani kubeba madingle maza ni ufahari halafu badae wanakuja kulia lia humu.

Mimi mwenyewe Hadi kuandika uzi huu nalaumiwa kwa kukataa kumpa mimba na amebeba mimba ya bwanaake ila haipendi
 
But ndoto hizo huyeyushwa na mwanaume huyohuyo mpaka unakuja itwa singlemother
 
Back
Top Bottom