Wananzengo, tunaenda kula bata wapi?

Wananzengo, tunaenda kula bata wapi?

100%

Hapa Arusha na hii jioni kuna hali ya hewa nzuri sana unaweza ukaamua unapiga sweta au simple tu t-shirt huku unagonga vyombo.

Hata kama hutumii alcohol poa sana kuchanganyika na jamii.

Mkuu Equation x upo wapi?
Hayo ndio mambo mkuu, mi bado sijatoka nangojea saa tatu usiku ndio nichomoke nikapate vaibu la huko nje, nione maua yamevaa vinguo vya kuogelea 😀
 
Back
Top Bottom