TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Hawa watoto jau sana,kuna jamaa amaekuwa kama mtumwa sasa,kazi haziendi unakuta wamekaa kule wanapiga stori kazi zimesimama
Daah kumbe viko hiviHawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana.
Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda wote,vinaweza kukufuata sehemu ya kazi vikatia kambi hapo kinakupigisha stori hakuna cha maana.
Mimi na viona kama Mzigo ukiwa navyo labda kama uwe na akili kama zao,ninyi watu wazimu mnaodate na hawa watoto mnawezaje kuvistahimili?
Punguwani mara kwenda wewe uliejibu uzi wa punguwani ndomboro weweWe nae punguwani usiku huu unaanzisha kama huu unajitambua kweli🥶ndugu tena Kuja dili hao Unaoita watoto
Sija date nao,kuna kijana wangu wa kazi kinamuendesha sana.Daah kumbe viko hivi
Bora sisi tushakua wakongwe atujui haya mambo. BTW date na level yako, hutacomplain kitu
Ni kazi sanaMatokeo ya elimu bure, wazazi kazini, simu mkononi..
Hawa wamezidi nafikiriWenye akili hizo wapo vizazi vyote ila watoto wa afu mbili mnawabebesha lawama.
Kijana wako kashapotezwaSija date nao,kuna kijana wangu wa kazi kinamuendesha sana.
Lijinga kabisa wewe lifataki wewe tubaki na hawa 27+ kwanini ufate vitoto umbwa sanaPunguwani mara kwenda wewe uliejibu uzi wa punguwani ndomboro wewe
Oya kinehe Ole cheza wanimanaga fathertatizo vijana upwiru unakaba sana koo
kinehe nkoiOya kinehe Ole cheza wanimanaga father
Fataki babu yakoLijinga kabisa wewe lifataki wewe tubaki na hawa 27+ kwanini ufate vitoto umbwa sana
Fataki hiyo kwiooFataki
Fatality