Wanao date na watoto Wa 2000 sijui wanawezaje?

Wanao date na watoto Wa 2000 sijui wanawezaje?

Mimi ndiye niliyempa kazi ,na huwa hatufukuzi kabla yakumuonya mtu na kumpatia elimu
Then aonywe tabia yake ya kugandana na watoto wa kike kazini!

Na unakubali vipi mtu anafanya kazi yako chini ya kiwango huku ukimuangalia tu na mwisho wa mwenzi anakuwa wa kwanza kukinga mkono apewe ujira wake?
 
Hawa watoto jau sana,kuna jamaa amaekuwa kama mtumwa sasa,kazi haziendi unakuta wamekaa kule wanapiga stori kazi zimesimama
Tatzo linaanzia kwenu mtt wa afu 2 huweki kambi ukishapga tu unamkaushia mazima, mtt wa afu2 usipompa hela time na ww hna na hii ndi dawa yao na siku ukimkumbuka we muwekee dau mezani haruki
 
Hawa watoto kwa mwonekano ni superb,ila Wana akili ndogo sana kwenye maisha,yaani hata mambo madogo kama kukunja nguo,usafi wao binafsi ni shida,yaani mambo kama kutandika kifua,kusafisha nyumba pamoja na bajeti ya vitu ni sifuri kabisa
 
Umejuaje uchachu wa embe bichi bila kuonja mwenzetu, au ndio ulikuwa kwenye kufanya utafiti, Kwa kisingizio Cha ........no research no right to speak........


Nikushauri weka mipaka from day one, na ijulikane mko hapo kwenye relationship for practical use only and not otherwise, akijisikia vibaya njia Iko wazi.
 
Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana.

Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda wote,vinaweza kukufuata sehemu ya kazi vikatia kambi hapo kinakupigisha stori hakuna cha maana.

Mimi na viona kama Mzigo ukiwa navyo labda kama uwe na akili kama zao,ninyi watu wazimu mnaodate na hawa watoto mnawezaje kuvistahimili?
Inategemea kazi unayofanya ndio inafanya urahisi wa kufuatwa muda wa kazi. Watoto 2000 pia Inategemea 2000 ipi.
 
Back
Top Bottom