Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

Ok sawa. Lkn pia kwa kuongezeka tu, serikali ipige marufuku gesti zinazoendesha huduma ijulikanayo kama "short time". Mteja anapewa chumba kwa masaa 3 tu. Mpaka jioni chumba kinaingiza wateja tofauti 8-10

Gesti iwe ni kwa ajili ya watu waliosafiri toka mbali, siyo barabara au nyumba ya pili.

Na zipo pub ambazo zina makahaba ambao wamevalishwa sare na kupewa opener lkn kiuhalisia siyo wahudumu wa pub, bali wanauza nyapu.
Madereva wa magari makubwa au mtu yeyote yule anayeendesha gari kwenda safari ndefu anaweza kutumia huduma ya short time.
Mwanamke au mwanaume aliye kwenye ndoa anaweza kutumia short time
Wanafunzi wapenzi walio chuo wanaweza kutumia short time.
 
Ok sawa. Lkn pia kwa kuongezeka tu, serikali ipige marufuku gesti zinazoendesha huduma ijulikanayo kama "short time". Mteja anapewa chumba kwa masaa 3 tu. Mpaka jioni chumba kinaingiza wateja tofauti 8-10

Gesti iwe ni kwa ajili ya watu waliosafiri toka mbali, siyo barabara au nyumba ya pili.

Na zipo pub ambazo zina makahaba ambao wamevalishwa sare na kupewa opener lkn kiuhalisia siyo wahudumu wa pub, bali wanauza nyapu.
we mjini niwajuzi
 
Attachments

  • Screenshot_2024-06-16-07-09-29-917_com.intsig.camscanner-edit.jpg
    Screenshot_2024-06-16-07-09-29-917_com.intsig.camscanner-edit.jpg
    153.6 KB · Views: 5
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.

Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.

Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Ukahaba ulikuwepo tangu enzi za Manabii. Ni kujidanganya eti unaweza kutoa ushauri kuzuia ukahaba Tanzania, kisa kutoa fursa za ajira. Kuna ushahidi mwingi tu kuwa hata wenye ajira wanafanyia ukahaba. Ushauri wangu sasa; Serikali iangalie namna ya kuuhalalisha ili walipe kodi isaidie kuleta maendeleo nchini.
 
Ondoa njaa mtaani wape watu ajira anzisha viwanda ili viwe na mchango mkubwa kwenye kutoa ajira
Naona hii vita ni ya viongozi kutaka kuonekana wapo kazini mana ukweli ni kwamba hakuna kazi yoyote wanafanya ni aibu kwakweli.
 
Ok sawa. Lkn pia kwa kuongezeka tu, serikali ipige marufuku gesti zinazoendesha huduma ijulikanayo kama "short time". Mteja anapewa chumba kwa masaa 3 tu. Mpaka jioni chumba kinaingiza wateja tofauti 8-10

Gesti iwe ni kwa ajili ya watu waliosafiri toka mbali, siyo barabara au nyumba ya pili.

Na zipo pub ambazo zina makahaba ambao wamevalishwa sare na kupewa opener lkn kiuhalisia siyo wahudumu wa pub, bali wanauza nyapu.
Wewe wanakuhusu nn??

KATAFUTIE FAMILIA YAKO CHAKULA ACHANA NA MAISHA YA WATU.
 
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.

Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.

Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Ushamba mzigo. Mwambieni aingie Instagram, Telegram, Whatsapp na Tinder.
Au hataki wasjiuze kwa kujipanga barabarani bali anataka wajiuze kisasa? Mwambieni apige marufuku hadi wanafunzi wa vyuo kuonekana mitaan au kuishi mitaani
 
Saivi Kuna uteja ukimchangia siku2 anakwambia kesho nitafute mchna mchana Hivi nikupe ya offer Hadi sa2 naenda kazi kama kawaida😋😋
Hiyo nafanyaga sana. Huwa namhemea changu mara tatu Kwa malipo keshi. Baada ya hapo anaanza kunipa Bure au Kwa hati punguzo na bia mbili.
 
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.

Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.

Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Upo sahihi sana maana hata hao wahudumu wa guest nao wanajiuza kwa wateja zai wa kiume
 
Biashara hii iendelee tu kwani kuizuia ni kukaribisha ubakaji wacheni watu wapunguze kutu zao kwa amani.
 
Ni kweli mkuu hiyo code niliyo tumia ni nimeificha. Ngoja niiweke wazi. Wenye pub na bar wanafanya biashara ya guest house. Chumba kimoja wanapata pesa nyingi sana kupitia hao dada poa. Kwa navy jua chumba kimoja kinatumiwa na dada poa 10. Kuanzia muda wao wa kazi mpaka kutakapo kucha. Hivyo basi hao wenye guest house wanapenda hao dada poa waendelee kuwepo pale ili wao wajipatie pesa.
Lakini pia kujiunga na hiyo kazi lazima dada poa aombe kwa hao hao wamiliki wa hizo pub, guest na Bar ili apewe funguo ya chumba atakachotumia. Na hiyo nafasi haitolewi kirahisi.
Wewe ulijuaje haya yote?
 
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.

Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.

Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.

Wenye guest wameweka mazingira rafiki kwa wageni kupata pa kulala wawapo ugenini, wanaojiuza nao wanaenda sehemu wanapodhani biashara yao itanunuliwa kirahisi hata porini mazingira yakiwa rafiki wataenda tu, kuna guest house kila mwanaume akienda na mwanamke lazima waoneshe cheti cha ndoa bado watu wanaingia na dada poa.
 
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.

Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.

Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Ukweli ni kwamba hii si shughuli ya msingi au mahususi au ya maana ambayo inaweza kutajwa imefanywa na mtu anayeitwa Mkuu wa wilaya…
Huyo mkuu wa wilaya ni mjinga mjinga amefanya mambo yasiyo yamsingi maana hii haiwezi hesabiwa kama ni kero kwa wananchi!
Huyo mkuu wa wilaya ni mjinga!
 
Back
Top Bottom