Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.
Wanapo wapa vibali vya kuendesha hizo gest wanajuanikina nani wanalalagahumo, nakodi wanalipa ausio?.
 
Kwani tatizo nini? Biashara ni kuuziana na kununuliana. Acheni ujinga nyie wapingaji. Waacheni wenye uhitaji wahudumiwe chap. Nyie mnapenda mtu asumbuliweeeeèe wkt mambo yawezekana pasta. Acheni ujinga
 
Kwani watu wakijiuza shida yenu nini? Au tatizo ni kujipanga barabarani, mbona huku mtaani hawa wanaojiita wapenzi ni zaidi ya hao!
 
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.

Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.

Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Nchi ngapi Duniani zilizoendelea na zisizoendelea ambazo hazina makahaba wanaojiuza ??
Mbali na Nchi zinazoongozwa kwa misingi ya kidini 🙄
 
Kahaba utakuwa umepigwa za uso na jiwe la gizani. Pole kwa kukusema
Cheki hii nyapu!...

Ndo Mana Africa tupo nyuma sana, Wenzetu wanawaza how they can make inovations to compete kwenye technology huyu anawaza nan na nan wemeingia guest house....

Nonsense kabisa, Ndo mana mnaambiwa tembea nchi zilizokua uone how they live.

KWANZA TANZANIA HAKUNA SHERIA INAYOKATAZA KUJIUZA. Na sijui hao askari wanaowakamata wanatumia sheria gani? 🤔

Natamani nikanunue mbususu alafu askari anikamate aone nitakavyomburuza mahakamani.

NDO MANA WANASEMA SOMENI SHERIA HATA KWA KIDUCHU Kuepuka huu upuuzi unaofanywa na wasiojua sheria.
 
Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.
Kuna vitu vingi vya kushughulikia nchi hii hili la ukahaba unadhani watawezana nalo, au wanapoteza tu rasilimali za serikali kwa kufanya vitu ili wamulikwe na kamera, hii nchi ina viongozi takataka kabisa, hawa viongozi walipaswa kujiuliza kwanza kwanini watu wanajiuza na sio kuwakamata wanaojiuza, ila kwa kuwa tuna viongozi ambao hawana tofauti na akili za funza haya ndio yanayotokea kwa sasa, DC unatoka ofisini unaenda kukagua gesti, hiyo si ni kazi ya mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wake, takataka kabisa hawa watu.
 
wanajisumbua tu, wabongo ngono zembe imo ndani ya mishipa ya damu, hawawezi acha kabisa.
 
Kwani watu wakijiuza shida yenu nini? Au tatizo ni kujipanga barabarani, mbona huku mtaani hawa wanaojiita wapenzi ni zaidi ya hao!
Wanatafuta air time zakijingatu, nchi inamambo mangisana ya kuwakip biz, wanaacha majizi yana tafunakodizetu wanapambana na madada poa.
 
Hizi biashara zimekuwepo miaka yote tangu enzi na enzi, nyie hamuwez kuja kuimaliza kwa siku moja wala haitoisha maana wateja wapo
 
Back
Top Bottom