Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

Madereva wa magari makubwa au mtu yeyote yule anayeendesha gari kwenda safari ndefu anaweza kutumia huduma ya short time.
Mwanamke au mwanaume aliye kwenye ndoa anaweza kutumia short time
Wanafunzi wapenzi walio chuo wanaweza kutumia short time.
 
we mjini niwajuzi
 

Attachments

  • Screenshot_2024-06-16-07-09-29-917_com.intsig.camscanner-edit.jpg
    153.6 KB · Views: 5
Ukahaba ulikuwepo tangu enzi za Manabii. Ni kujidanganya eti unaweza kutoa ushauri kuzuia ukahaba Tanzania, kisa kutoa fursa za ajira. Kuna ushahidi mwingi tu kuwa hata wenye ajira wanafanyia ukahaba. Ushauri wangu sasa; Serikali iangalie namna ya kuuhalalisha ili walipe kodi isaidie kuleta maendeleo nchini.
 
Ondoa njaa mtaani wape watu ajira anzisha viwanda ili viwe na mchango mkubwa kwenye kutoa ajira
Naona hii vita ni ya viongozi kutaka kuonekana wapo kazini mana ukweli ni kwamba hakuna kazi yoyote wanafanya ni aibu kwakweli.
 
Wewe wanakuhusu nn??

KATAFUTIE FAMILIA YAKO CHAKULA ACHANA NA MAISHA YA WATU.
 
Ushamba mzigo. Mwambieni aingie Instagram, Telegram, Whatsapp na Tinder.
Au hataki wasjiuze kwa kujipanga barabarani bali anataka wajiuze kisasa? Mwambieni apige marufuku hadi wanafunzi wa vyuo kuonekana mitaan au kuishi mitaani
 
Saivi Kuna uteja ukimchangia siku2 anakwambia kesho nitafute mchna mchana Hivi nikupe ya offer Hadi sa2 naenda kazi kama kawaida😋😋
Hiyo nafanyaga sana. Huwa namhemea changu mara tatu Kwa malipo keshi. Baada ya hapo anaanza kunipa Bure au Kwa hati punguzo na bia mbili.
 
Upo sahihi sana maana hata hao wahudumu wa guest nao wanajiuza kwa wateja zai wa kiume
 
Biashara hii iendelee tu kwani kuizuia ni kukaribisha ubakaji wacheni watu wapunguze kutu zao kwa amani.
 
Wewe ulijuaje haya yote?
 

 
Ukweli ni kwamba hii si shughuli ya msingi au mahususi au ya maana ambayo inaweza kutajwa imefanywa na mtu anayeitwa Mkuu wa wilaya…
Huyo mkuu wa wilaya ni mjinga mjinga amefanya mambo yasiyo yamsingi maana hii haiwezi hesabiwa kama ni kero kwa wananchi!
Huyo mkuu wa wilaya ni mjinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…