Wanapo wapa vibali vya kuendesha hizo gest wanajuanikina nani wanalalagahumo, nakodi wanalipa ausio?.Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.
Nchi ngapi Duniani zilizoendelea na zisizoendelea ambazo hazina makahaba wanaojiuza ??Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.
Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Cheki hii nyapu!...Kahaba utakuwa umepigwa za uso na jiwe la gizani. Pole kwa kukusema
Kuna vitu vingi vya kushughulikia nchi hii hili la ukahaba unadhani watawezana nalo, au wanapoteza tu rasilimali za serikali kwa kufanya vitu ili wamulikwe na kamera, hii nchi ina viongozi takataka kabisa, hawa viongozi walipaswa kujiuliza kwanza kwanini watu wanajiuza na sio kuwakamata wanaojiuza, ila kwa kuwa tuna viongozi ambao hawana tofauti na akili za funza haya ndio yanayotokea kwa sasa, DC unatoka ofisini unaenda kukagua gesti, hiyo si ni kazi ya mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wake, takataka kabisa hawa watu.Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.
ππLengo la biashara za guest na lodge ni kupata nini? Wateja wanapoongozana kuingia ndani ya hizo guest na lodge wana alama yoyote kwamba ni malaya? Unatumia b.hange wewe?
Wanatafuta air time zakijingatu, nchi inamambo mangisana ya kuwakip biz, wanaacha majizi yana tafunakodizetu wanapambana na madada poa.Kwani watu wakijiuza shida yenu nini? Au tatizo ni kujipanga barabarani, mbona huku mtaani hawa wanaojiita wapenzi ni zaidi ya hao!