Wanao nunua wanawake wapo sahihi zaidi kuliko walio kwenye mahusiano

Tatizo hisia hamna, ukichangia na hofu ya maradhi, na hisia za kuhisi hauko peke yako.
 
Ngoja kwanza.......
Huu ni utafiti au ni maoni ya mtu kutokana na kilichomtokea.

Hao wanawake ni wote au ni baadhi?
 
Nature inataka hivyo kiongozi.
Hujawahi kumuona jogoo akikuta sehemu ina pumba humuita tetea aje ale.
 
Mkuu , usiwavunjie heshima hao viumbe Kwa msemo wa samaki mmoja akioza wote wameoza

Tafuta nafasi uwape heshima Yao sio wote Wana tabia hizo, mamba na mto sio ndugu
 
Tatizo wa kununua hakati kiu mzee,, yana masharti kama mganga wa kienyeji,, demu wako angalau unaweza hata kumpiga ka kofi ka kwenye tako,, jaribu kufanya hivyo kwa malaya uone timbwili lake,,
 
Tatizo wa kununua hakati kiu mzee,, yana masharti kama mganga wa kienyeji,, demu wako angalau unaweza hata kumpiga ka kofi ka kwenye tako,, jaribu kufanya hivyo kwa malaya uone timbwili lake,,
Mkuu dakika tano tu nimekojoa hakati kiu kivipi
 
Tafiti zinaonyesha waliopo kwenye mahusiano ndio wana hatari zaidi ya kuambukizwa magojwa ya zinaa. Si unamuamini bwana, utazama hadi uvinza, kumbe huko wamepasugua jana hadi wakaacha vimelea vya gono.
 
Facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…