Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Umenigusa sana tena uzi huu umenipapasa kisawa sawa. Ujue demu wangu nisipompa 10k hanipi halafu eti ni mpenzi. Hii imenitachi
Wataje kwa majina ili tujue you are not talking about ghostsHuo ni uongoo akijiuza wa kwako usiseme wote wanaojiuza, vipi wale wanawake wanaowahudumia waume zao
Siku hizi kila demu anauzaUmenigusa sana tena uzi huu umenipapasa kisawa sawa. Ujue demu wangu nisipompa 10k hanipi halafu eti ni mpenzi. Hii imenitachi
Wewe umewataja kwa majina, au unaongelea vitu vya kusadikikaWataje kwa majina ili tujue you are not talking about ghosts
Sana mkuuAiseeh ndio dunia inakoelekea huko wauzaji wapo wengi sana
Hoja yangu naihitaji uthibitisho kwa sababu ndio uhalisiaWewe umewataja kwa majina, au unaongelea vitu vya kusadikika
Hoja yako haina uhalisia, ukiamua kwenda kununua wanaojiuza kwa sababu zako, usiseme wanawake wote wanaojiuza bali ni hao uliowanunua ndio wanaojiuza, ukiambiwa utoe ushahidi wa takwimu utaweza? Unajua kama huko ni kutweza utu wa mwanamkeHoja yangu naihitaji uthibitisho kwa sababu ndio uhalisia
Muongelee wa kwako, ndiye unayemjua, sio wa wenzio, huwajui!Sababu ni hizi hapa 👇👇👇
1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine
2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo
Chaguo ni lako...
Kugharamia kwa mwanaume hakukwepeki, japo husigharamie kupita uwezo wako. Angalizo kama ukiwa unadate na mwanamke halafu ukapitia mtikisiko kidogo wa kiuchumi then,mwanamke wako akawa hakuheshimu kama zamani kaa ukijua ulikuwa unadate na malaya.Sababu ni hizi hapa 👇👇👇
1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine
2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo
Chaguo ni lako...
Haswa angezungumzia wa kwake aliyemuuziaMuongelee wa kwako, ndiye unayemjua, sio wa wenzio, huwajui!
Mbona wanawake wote wa siku hizo ndo wapo hivyo mkuuKugharamia kwa mwanaume hakukwepeki, japo husigharamie kupita uwezo wako. Angalizo kama ukiwa unadate na mwanamke halafu ukapitia mtikisiko kidogo wa kiuchumi then,mwanamke wako akawa hakuheshimu kama zamani kaa ukijua ulikuwa unadate na malaya.
Usije sema hukuambiwaMuongelee wa kwako, ndiye unayemjua, sio wa wenzio, huwajui!
Kaka mbona unawatetea sana wanawake?Hoja yako haina uhalisia, ukiamua kwenda kununua wanaojiuza kwa sababu zako, usiseme wanawake wote wanaojiuza bali ni hao uliowanunua ndio wanaojiuza, ukiambiwa utoe ushahidi wa takwimu utaweza? Unajua kama huko ni kutweza utu wa mwanamke
Kaka una uhakika mwanamke wako hajiuzi?Kama Mwanamke wako anajiuza huko nje huna tofauti na anayenunua malaya. Ila ni mwanamke wako, chaguo lako, version uliyo nayo wewe sio wanawake wa dunia nzima.
maana ya malaya ni uhuru wa ngono kufanya anavyotakaKwani maana ya malaya ni nini?
Nina mashaka na tafsiri ya hili neno.
huyo sio mpenzi wako ni malaya wako kwasababu unamnunua mpenzi wako ni yule ambaye amewekeza muda, pesa, upendo na n.k kwakoUmenigusa sana tena uzi huu umenipapasa kisawa sawa. Ujue demu wangu nisipompa 10k hanipi halafu eti ni mpenzi. Hii imenitachi