Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Kwa tafsiri yako hii inawafanya wanawake wote wenye low sex drive kuwa salama kwenye neno "Malaya"maana ya malaya ni uhuru wa ngono kufanya anavyotaka
Kwa tafsiri yako hii inawafanya wanawake wote wenye low sex drive kuwa salama kwenye neno "Malaya"maana ya malaya ni uhuru wa ngono kufanya anavyotaka
Hana hizo tuhuma, kumjadili binadamu kwenye tuhuma ambazo hana ni kumkosea adabu.Kaka una uhakika mwanamke wako hajiuzi?
uu Uzi umeuandika na umetafakari kwa uwezo wa shetani.Kwa lugha ya haraka ameandika shetani hiyo mada.Acha kupotosha jamii kizazi kijacho watakupiga viboko uzeeni na mwisho wako utakuwa mbaya usipotubu na kuokoka kwa jina la YESU KRISTO.Sababu ni hizi hapa 👇👇👇
1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine
2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo
Chaguo ni lako...
Magonjwa
Huu Uzi umeuandika na umetafakari kwa uwezo wa shetani.Kwa lugha ya haraka ameandika shetani hiyo mada.Acha kupotosha jamii kizazi kijacho watakupiga viboko uzeeni na mwisho wako utakuwa mbaya usipotubu na kuokoka kwa jina la YESU KRISTO.Sababu ni hizi hapa 👇👇👇
1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine
2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo
Chaguo ni lako...
Hujui?tanzania kuna malaya wanaojiuza mitandaoni ?
Simu sijui computer ni ya mleta mada, bundle ni lake na malaya ni wake, shetani hajaandika.Huu Uzi umeuandika na umetafakari kwa uwezo wa shetani.Kwa lugha ya haraka ameandika shetani hiyo mada.Acha kupotosha jamii kizazi kijacho watakupiga viboko uzeeni na mwisho wako utakuwa mbaya usipotubu na kuokoka kwa jina la YESU KRISTO.
Hujamlipa vizuri. Malaya ukimlipa vizuri unafanya unavyotaka.Tatizo wa kununua hakati kiu mzee,, yana masharti kama mganga wa kienyeji,, demu wako angalau unaweza hata kumpiga ka kofi ka kwenye tako,, jaribu kufanya hivyo kwa malaya uone timbwili lake,,
Shetani tunamuona kupitia watu for that's satanic agenda bro kama unasapoti ni swala la mda tu.Yedu anabisha mlangoni pako mfungulieSimu sijui computer ni ya mleta mada, bundle ni lake na malaya ni wake, shetani hajaandika.
Huu Uzi umeuandika na umetafakari kwa uwezo wa shetani.Kwa lugha ya haraka ameandika shetani hiyo mada.Acha kupotosha jamii kizazi kijacho watakupiga viboko uzeeni na mwisho wako utakuwa mbaya usipotubu na kuokoka kwa jina la YESU KRISTO.Hujui?
Njoo inbox nikupe link kabisa.
Hujui?tanzania kuna malaya wanaojiuza mitandaoni ?
Mi sijaandika uzi acha ufala. Wewe umetubu na kuokoka unafanya kini hapa?Huu Uzi umeuandika na umetafakari kwa uwezo wa shetani.Kwa lugha ya haraka ameandika shetani hiyo mada.Acha kupotosha jamii kizazi kijacho watakupiga viboko uzeeni na mwisho wako utakuwa mbaya usipotubu na kuokoka kwa jina la YESU KRISTO.
Shetani hajaandika, mengine ni masuala ya imani, humu wapo wenye imani tofauti.Shetani tunamuona kupitia watu for that's satanic agenda bro kama unasapoti ni swala la mda tu.Yedu anabisha mlangoni pako mfungulie
Asante.lugha Yako ndugu yangu inafanana na ya mleta Uzi ndiyo maana nimekupa ujumbe kama wake na ukapaniki.Karibu tumtukize BWANAHujui?
Njoo inbox nikupe link kabisa.
Mi sijaandika uzi acha ufala. Wewe umetubu na kuokoka unafanya kini hapa?
Acha woga, kubali kuwajibika. Ukioa gaidi shauri yako. Husiwaite wake za watu malaya, kuna wanawake wamesitirika.Hata demu wa MTAANI anaweza asikuuguze vile vile kwa sababu ndio huyo huyo malaya... Na kuhusu mke wa ndoa ndio hatari kwa maana huyo huyo ndo anaweza kukuwekea sumu ufe taratibu
Imani ata ziwe tofauti hakuna msikiti Wala KANISA wanafundisha umalaya na uzinzi kuwa ni Bora na kama sivyo basi njia Bora ni YESU KRISTO.Shetani hajaandika, mengine ni masuala ya imani, humu wapo wenye imani tofauti.
Kuna Demu emeniletea maigizo mpaka nikashangaa, yaani nikija Dar yeye ndio anakuwa bize balaa, nikiwa mbali anaifanya ananipenda.Sababu ni hizi hapa 👇👇👇
1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine
2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo
Chaguo ni lako...
Kuokoka ndio kafanyaje Acha utapeliImani ata ziwe tofauti hakuna msikiti Wala KANISA wanafundisha umalaya na uzinzi kuwa ni Bora na kama sivyo basi njia Bora ni YESU KRISTO.
KUOKOKA kiukweli Ndilo jema