Wanao nunua wanawake wapo sahihi zaidi kuliko walio kwenye mahusiano

Tatizo wa kununua hakati kiu mzee,, yana masharti kama mganga wa kienyeji,, demu wako angalau unaweza hata kumpiga ka kofi ka kwenye tako,, jaribu kufanya hivyo kwa malaya uone timbwili lake,,
Ile ni mizoga ilishajikatia tamaa ya maisha, Wanaume wanaonunua ni wapumbavu sana
 
Unazunguka sana sema dem wako umemfuma anajiuza chimbo gn
 
Kuna Demu emeniletea maigizo mpaka nikashangaa, yaani nikija Dar yeye ndio anakuwa bize balaa, nikiwa mbali anaifanya ananipenda.

Unaweza kuamini Demu mnapeana miradi Mkutane saa kumi na mbili jioni, ikifika 12 anakwambia subiri kidogo nakuja saa tatu, ikifika saa tatu nakwambia nakuja saa Saba usiku🤣
Bora kununua
 
Sababu ni hizi hapa 👇👇👇

1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine

2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo

Chaguo ni lako...
umesahau na jengine kuna uwezekano mkubwa wakupata magonjwa ya zinaa kupitia gelofrend wako kuliko malaya.

kwa hiyo kwa usalama wa afya yako mara mia ukadinye malaya na sio mkeo au gelofrend.
 
Sababu ni hizi hapa 👇👇👇

1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine

2. Gharama: Huyo demu ambae una mgharamikia kama mtoto wako Mara umempa hamsini Mara laki na uchi wenyewe anakupa anapo jisikia, huko anapo Jiuza bei elekezi ni sh elfu kumi tu. Jamaa anaenda anatoa elfu yake kumi dakika zake kumi anakojoa anaendelea na maisha yake.. Hakuna cha Mambo ya sijui gesi imeisha, nadaiwa marejesho vikoba, simu imepasuka kioo, Shangazi anaunwa kisarawe blah blah blah. Ila akija kwako ndo anakuletea maigizo

Chaguo ni lako...
10/10
 
Mbona wanawake wote wa siku hizo ndo wapo hivyo mkuu
Sio wote, tena wapo wanawake wana uwezo wa kuhisi hali ya kiuchumi ya mwenzi wake hata kabla ya kumwambia na yeye anajiadjust kutokana na hali ulio kuwa nayo kwa mda huo. Aina hii ya wanawake ukiwapata ni sawa umeshinda bingo.
 
Katika milioni moja utampata mmoja kaka. Tanzania nzima let's say wanawake wapo milioni 40 basi kwa ratio hiyo Tanzania nzima watakuwa wanawake 40 peke yake
 
Back
Top Bottom