Wanao nunua wanawake wapo sahihi zaidi kuliko walio kwenye mahusiano

Umenigusa sana tena uzi huu umenipapasa kisawa sawa. Ujue demu wangu nisipompa 10k hanipi halafu eti ni mpenzi. Hii imenitachi
 
Hoja yangu naihitaji uthibitisho kwa sababu ndio uhalisia
Hoja yako haina uhalisia, ukiamua kwenda kununua wanaojiuza kwa sababu zako, usiseme wanawake wote wanaojiuza bali ni hao uliowanunua ndio wanaojiuza, ukiambiwa utoe ushahidi wa takwimu utaweza? Unajua kama huko ni kutweza utu wa mwanamke
 
Muongelee wa kwako, ndiye unayemjua, sio wa wenzio, huwajui!
 
Kugharamia kwa mwanaume hakukwepeki, japo husigharamie kupita uwezo wako. Angalizo kama ukiwa unadate na mwanamke halafu ukapitia mtikisiko kidogo wa kiuchumi then,mwanamke wako akawa hakuheshimu kama zamani kaa ukijua ulikuwa unadate na malaya.
 
Mbona wanawake wote wa siku hizo ndo wapo hivyo mkuu
 
Hoja yako haina uhalisia, ukiamua kwenda kununua wanaojiuza kwa sababu zako, usiseme wanawake wote wanaojiuza bali ni hao uliowanunua ndio wanaojiuza, ukiambiwa utoe ushahidi wa takwimu utaweza? Unajua kama huko ni kutweza utu wa mwanamke
Kaka mbona unawatetea sana wanawake?
 
Kama Mwanamke wako anajiuza huko nje huna tofauti na anayenunua malaya. Ila ni mwanamke wako, chaguo lako, version uliyo nayo wewe sio wanawake wa dunia nzima.
 
Kaka una uhakika mwanamke wako hajiuzi?
 
Reactions: Tsh
Umenigusa sana tena uzi huu umenipapasa kisawa sawa. Ujue demu wangu nisipompa 10k hanipi halafu eti ni mpenzi. Hii imenitachi
huyo sio mpenzi wako ni malaya wako kwasababu unamnunua mpenzi wako ni yule ambaye amewekeza muda, pesa, upendo na n.k kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…