Wanao nunua wanawake wapo sahihi zaidi kuliko walio kwenye mahusiano

Tatizo wa kununua hakati kiu mzee,, yana masharti kama mganga wa kienyeji,, demu wako angalau unaweza hata kumpiga ka kofi ka kwenye tako,, jaribu kufanya hivyo kwa malaya uone timbwili lake,,
Ile ni mizoga ilishajikatia tamaa ya maisha, Wanaume wanaonunua ni wapumbavu sana
 
Unazunguka sana sema dem wako umemfuma anajiuza chimbo gn
 
Bora kununua
 
umesahau na jengine kuna uwezekano mkubwa wakupata magonjwa ya zinaa kupitia gelofrend wako kuliko malaya.

kwa hiyo kwa usalama wa afya yako mara mia ukadinye malaya na sio mkeo au gelofrend.
 
10/10
 
Mbona wanawake wote wa siku hizo ndo wapo hivyo mkuu
Sio wote, tena wapo wanawake wana uwezo wa kuhisi hali ya kiuchumi ya mwenzi wake hata kabla ya kumwambia na yeye anajiadjust kutokana na hali ulio kuwa nayo kwa mda huo. Aina hii ya wanawake ukiwapata ni sawa umeshinda bingo.
 
Katika milioni moja utampata mmoja kaka. Tanzania nzima let's say wanawake wapo milioni 40 basi kwa ratio hiyo Tanzania nzima watakuwa wanawake 40 peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…