johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hao wangebaki huko huko Chadema mimi nampongeza sana Kubenea na mchungaji Msigwa.Comrade mmewaingiza hawa jamaa cha kike alafu mnakuja kuwananga namna hii?
Nijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa Nccr mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
Mbatia hana miundombinu ya kuweza kushawishi vijana..... Ni afadhali hata mzee Hashim Rungwe Spunda vijana wanamkubali na zile swaga zake!..Mbatia angeenda ku-recruit vijana toka vyuoni.
..hicho ndicho alichofanya Mbowe wakati kuna mdororo ndani ya cdm.
..John Mrema, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Muhonga, na wengine, walifuatwa na Mbowe wakiwa chuo kikuu.
..watu kama Mbatia, Selesini, na Komu, kwa umri wao na changamoto walizopitia, nadhani wako zaidi kwa maslahi yao na siyo maslahi ya mageuzi na mabadiliko nchini.
..wananchi hawawezi kukichukulia chama cha nccr seriously kwasababu viongozi wake hawaonyeshi nia ya kutaka kuitoa ccm madarakani.
CS wizara ya kigwa sio?Anakwenda Mkenda hilo jimbo la Rombo
Hahah daah noma sana, hebu mzee baba mpangie jimbo Serukamba 2020 apewe jimbo gani.siasa za jf za abunuasi.
mtu anapewa ubunge hapa hapa live.
mwengine anahamishwa jimbo.
mwengine anapokonywa jimbo anapewa wa chama kingine basi ilimradi mb zipo za kutosha na hakuna kumpangia mtu cha kuandika basi watu wanatapika tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyesema lazima kuwe na wabunge wa upinzani?Kwa siasa hizi lolote linaweza kutokea maana lazima kambi ya upinzani iwepo, na dalili zinaonyesha lazima iwe ya kutengenezwa! Maandalizi ndo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia hana ushawishi, hana mvuto wa kisiasa, hana nguvu za hoja jukwaani ..NCCR bado saana!!Mbatia hana miundombinu ya kuweza kushawishi vijana..... Ni afadhali hata mzee Hashim Rungwe Spunda vijana wanamkubali na zile swaga zake!
Wewe unaipenda CCM kuliko Makamba family?Km unaipenda Chadema hamia huko, acha kutupigia kelele
Ila tambua Chadema Lazima ife na Nccr mageuzi anakuwa chama kikuu cha upinzani
Tukutane October
Kwa Jiwe inawezekana as long as ni kuidhoofisha CDM! yeye Jiwe tabu yake ni CDM, anajua kuwa hawa wengine ni takataka tu za kupitaNijuavyo mimi ni kuwa wale wabunge waliotangulia kuingia CCM wakitokea Chadema na Cuf akina Waitara na wenzake itabidi wapitie utaratibu wa kawaida wa kura za maoni na hakuna mbeleko safari hii.
Sasa kama hawa akina Waitara itawalazimu wapambanie ubunge wao hao akina Selasini ubunge wa bure wanaupataje?
Na ukiwaangalia kwa makini wagombea wa NCCR Mageuzi akina Komu, Selasini, Silinde na Lwakatare hawana ushawishi kabisa kwenye majimbo yao na CCM hawana ujinga wa kupitisha wagombea mizigo.
Rip Mmanda ndoto yako ya ubunge Rombo imeshindwa kutimia.
Maendeleo hayana vyama!
..Mbatia angeenda ku-recruit vijana toka vyuoni.
..hicho ndicho alichofanya Mbowe wakati kuna mdororo ndani ya cdm.
..John Mrema, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Muhonga, na wengine, walifuatwa na Mbowe wakiwa chuo kikuu.
..watu kama Mbatia, Selesini, na Komu, kwa umri wao na changamoto walizopitia, nadhani wako zaidi kwa maslahi yao na siyo maslahi ya mageuzi na mabadiliko nchini.
..wananchi hawawezi kukichukulia chama cha nccr seriously kwasababu viongozi wake hawaonyeshi nia ya kutaka kuitoa ccm madarakani.
Wewe unaipenda CCM kuliko Makamba family?
Usinywe bia nyingi ukajiachia kama kitimoto!